pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hehehe π sina haja ya kuprove kitu chochote kwa mtu yeyote ule, wala 'kupambana' kama unavosema. I just speak the truth as i see it. If it becomes an uphill task. Then I let it be. Basi.ngoja arudi halafu tuone vile atavyo kujibu.na tuone kama utamudu kupambana naye.
chezeya mkikuyu akili timamu wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata kujenga hamjaanza mnaaanza kujisifu sifualafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
SAFI SANAWw ni kichaa kabisa ukuta ndo was kijisifia jeshi LA Kenya lina majukumu mazito ya kupambama na ugaidi siyo issue ya ukuta
Hehehe sasa unakuja kutulilia hapa kwa nini? Kwa matatizo ya wazazi wako kutokua wakenya? Ulitaka nikujibuje tofauti na hivyo? Kwa mfano maybeMama yangu anaingiaje hapa?
Ndio maana nikasema ukuta pekee ambao wakenya wameujenga kwa wakati ni uelewa. Badala ya kujenga hoja, unaingiza wazazi humu.
****** mkubwa wewe. Tena ukome kuingiza wazazi kwenye mada ambazo haziwahusu
Mmoja kati ya wannemugger,
ukuta wa kenya-somalia unajengwa na kdf?.
kama unajengwa na kdf, lini kdf wanatakiwa kuukamilisha na sasa ukuta huo umefikia katika level gani ya ujenzi katika maazimio ya kuukamilisha?.
sitegemei unijibu kwa emotions. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo yote uliyoyataja hapo juu kama majukumu ya JKT hayafanywi na KDF Kenya, yote ni majukumu ya vijana wa NYS, ndo maana zamani ilikuwa ni lazima kwa kila mkenya kujiunga na NYS, wakimaliza kidato cha sita? NYS ni NYS, sio KDF mafunzo yao ni tofauti. Wakati KDF wanachukua kurutu wapya, huwa wanachukua vijana wa NYS wanaotaka kujiunga na KDF kwanza. Kisha wanakuwa 'trained' sawa tu na kurutu wenzao. Comprende?nimekwambia ukiondoa majukumu mengine ya kijamii, jkt ni jeshi kamili na linahusika na majukumu yote ya kijeshi kama vile watakavyo agizwa na wakubwa wao.
kufananisha jkt na kdf sio kosa, ni sahihi asimilia 100.[emoji23]
embu tazama majukumu ya jkt hapa chini halafu linganisha na hicho kidudu kinaitwa NYS hapo kenya.
sawa.Hayo yote uliyoyataja hapo juu kama majukumu ya JKT hayafanywi na KDF Kenya, yote ni majukumu ya vijana wa NYS, ndo maana zamani ilikuwa ni lazima kwa kila mkenya kujiunga na NYS, wakimaliza kidato cha sita? NYS ni NYS, sio KDF mafunzo yao ni tofauti. Wakati KDF wanachukua kurutu wapya, huwa wanachukua vijana wa NYS wanaotaka kujiunga na KDF kwanza. Kisha wanakuwa 'trained' sawa tu na kurutu wenzao. Comprende?
wewe jamaa tangu ukose ajira serikalini baada ya kushindwa kutimiza vigezo kwenye interview, siku hizi umekuwa mtu wa kukosoa kila jambo zuri lenye utanzania ndani yake.Acheni vituko bana, huo ukuta ndiyo unamlimda apolo asitoe madini kinyemela??
Madini sio maharage, endeleeni kuchezea pesa yenu.
We mleta uzi nae, yan umekaa ukatafakari kbs ukaona hii nayo ni hbr mkuu!
naona jibu nililokupa pale juu limeeleweka. hayo mengine uliyoandika hapo juu ni porojo tu za kuifanya thread izidi ku-trend. karibu tena ndg.[emoji23]Tatizo umeingiza ligi zczo na mcng kwa kulinganisha na jeshi la kenya, ungeileta km ilivyo ingependeza xn....hivi ni lazma kila mara turumbane na hawa jamaa kwny mitandao mkuu?!
Hehehe π we jamaa bana! Twende kazi kivipi? Kwani hujui ku'google'? Andika NYS Kenya, utawajua tu, wanajua kazi yao, ni vijana wa kujituma vilivyo na huwa hawapewi muda fulani eti ndo watimize majukumu yao.sawa.
sasa turudi kwa hao NYS,
ni jukumu gani wamewahi kulikamilisha mapema kabla ya muda waliopewa au wamewahi kulikamilisha ndani ya muda?.
na usianiambie NYS hawajawahi kupewa jukumu lolote la kijamii au la kijeshi.
mfano uokozi wakati wa majanga ya kiasili, ujenzi wa nyumba za serikali, madaraja nk.
twende kazi buda[emoji23]
duh!, asante kwa jibu la "great sinker".Hehehe π we jamaa bana! Twende kazi kivipi? Kwani hujui ku'google'? Andika NYS Kenya, utawajua tu, wanajua kazi yao, ni vijana wa kujituma vilivyo na huwa hawapewi muda fulani eti ndo watimize majukumu yao.
Ukuta hoyeeee! π Hivyo ndo mtakuwa mnajibu wakati mnalishwa sahani za pilau. Hoyeeeee! Ukuta upo haupo? ππduh!, asante kwa jibu la "great sinker".
JKT hoyeeeeeee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]