JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

ngoja arudi halafu tuone vile atavyo kujibu.na tuone kama utamudu kupambana naye.
chezeya mkikuyu akili timamu wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehe 😀 sina haja ya kuprove kitu chochote kwa mtu yeyote ule, wala 'kupambana' kama unavosema. I just speak the truth as i see it. If it becomes an uphill task. Then I let it be. Basi.
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
maxresdefault.jpg
Hata kujenga hamjaanza mnaaanza kujisifu sifu
 
nitakupatia binocular uitumie kutafuta makosa zaidi kwenye thread.[emoji23] [emoji23]
Si yale ya faiza foxxy, hapana, ni kukosoana tu katika harakati ya kukikuza kiswahili. Shukran nsekwa, kwa niaba ya mleta mada, naona hataki kukosolewa ila najua hatarudia tena. 😀
 
Mama yangu anaingiaje hapa?

Ndio maana nikasema ukuta pekee ambao wakenya wameujenga kwa wakati ni uelewa. Badala ya kujenga hoja, unaingiza wazazi humu.

****** mkubwa wewe. Tena ukome kuingiza wazazi kwenye mada ambazo haziwahusu
Hehehe sasa unakuja kutulilia hapa kwa nini? Kwa matatizo ya wazazi wako kutokua wakenya? Ulitaka nikujibuje tofauti na hivyo? Kwa mfano maybe
 
mugger,
ukuta wa kenya-somalia unajengwa na kdf?.

kama unajengwa na kdf, lini kdf wanatakiwa kuukamilisha na sasa ukuta huo umefikia katika level gani ya ujenzi katika maazimio ya kuukamilisha?.

sitegemei unijibu kwa emotions. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmoja kati ya wanne
 
Acheni vituko bana, huo ukuta ndiyo unamlimda apolo asitoe madini kinyemela??

Madini sio maharage, endeleeni kuchezea pesa ya umma.
 
Vipi vijana wetu walioshiriki ujenzi wanaweza pata ka puromosheni hta ka kuajiriwa na vyombo vyetu vya dola.
 
nimekwambia ukiondoa majukumu mengine ya kijamii, jkt ni jeshi kamili na linahusika na majukumu yote ya kijeshi kama vile watakavyo agizwa na wakubwa wao.

kufananisha jkt na kdf sio kosa, ni sahihi asimilia 100.[emoji23]

embu tazama majukumu ya jkt hapa chini halafu linganisha na hicho kidudu kinaitwa NYS hapo kenya.
Hayo yote uliyoyataja hapo juu kama majukumu ya JKT hayafanywi na KDF Kenya, yote ni majukumu ya vijana wa NYS, ndo maana zamani ilikuwa ni lazima kwa kila mkenya kujiunga na NYS, wakimaliza kidato cha sita? NYS ni NYS, sio KDF mafunzo yao ni tofauti. Wakati KDF wanachukua kurutu wapya, huwa wanachukua vijana wa NYS wanaotaka kujiunga na KDF kwanza. Kisha wanakuwa 'trained' sawa tu na kurutu wenzao. Comprende?
 
sawa.
sasa turudi kwa hao NYS,
ni jukumu gani wamewahi kulikamilisha mapema kabla ya muda waliopewa au wamewahi kulikamilisha ndani ya muda?.

na usianiambie NYS hawajawahi kupewa jukumu lolote la kijamii au la kijeshi.
mfano uokozi wakati wa majanga ya kiasili, ujenzi wa nyumba za serikali, madaraja nk.

twende kazi buda[emoji23]
 
Acheni vituko bana, huo ukuta ndiyo unamlimda apolo asitoe madini kinyemela??

Madini sio maharage, endeleeni kuchezea pesa yenu.
wewe jamaa tangu ukose ajira serikalini baada ya kushindwa kutimiza vigezo kwenye interview, siku hizi umekuwa mtu wa kukosoa kila jambo zuri lenye utanzania ndani yake.

hata sikushangai. karibu tena bro. comment zako muhimu sana.
 
We mleta uzi nae, yan umekaa ukatafakari kbs ukaona hii nayo ni hbr mkuu!
 
We mleta uzi nae, yan umekaa ukatafakari kbs ukaona hii nayo ni hbr mkuu!

ingekuwa hii sio habari au ingekuwa sio habari yenye uzito wake, mtandao mkubwa wa habari mbalimbali za kimataifa wa all africa.com wasingeiandika.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
67e50d2cbbca43c8848f8ae03662037f.jpg

na kama hujui all africa. com ni mtandao wa namna gani soma hapo chini(bila shaka upo vizuri kwenye kingereza[emoji23] )au ingia kwenye website yao: Home
bf698b5948bdfba3e2257f79b3279fd2.jpg
 
Tatizo umeingiza ligi zczo na mcng kwa kulinganisha na jeshi la kenya, ungeileta km ilivyo ingependeza xn....hivi ni lazma kila mara turumbane na hawa jamaa kwny mitandao mkuu?!
 
Tatizo umeingiza ligi zczo na mcng kwa kulinganisha na jeshi la kenya, ungeileta km ilivyo ingependeza xn....hivi ni lazma kila mara turumbane na hawa jamaa kwny mitandao mkuu?!
naona jibu nililokupa pale juu limeeleweka. hayo mengine uliyoandika hapo juu ni porojo tu za kuifanya thread izidi ku-trend. karibu tena ndg.[emoji23]
 
sawa.
sasa turudi kwa hao NYS,
ni jukumu gani wamewahi kulikamilisha mapema kabla ya muda waliopewa au wamewahi kulikamilisha ndani ya muda?.

na usianiambie NYS hawajawahi kupewa jukumu lolote la kijamii au la kijeshi.
mfano uokozi wakati wa majanga ya kiasili, ujenzi wa nyumba za serikali, madaraja nk.

twende kazi buda[emoji23]
Hehehe 😀 we jamaa bana! Twende kazi kivipi? Kwani hujui ku'google'? Andika NYS Kenya, utawajua tu, wanajua kazi yao, ni vijana wa kujituma vilivyo na huwa hawapewi muda fulani eti ndo watimize majukumu yao.
 
duh!, asante kwa jibu la "great sinker".
JKT hoyeeeeeee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
duh!, asante kwa jibu la "great sinker".
JKT hoyeeeeeee[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ukuta hoyeeee! 😀 Hivyo ndo mtakuwa mnajibu wakati mnalishwa sahani za pilau. Hoyeeeee! Ukuta upo haupo? 😀😀
 
Back
Top Bottom