JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Sisi je ndege vp wenzetu saivi wana ndege yao binafsi shirika lao la ndege la kenya airways inayotoka Kenya hadi USA
 
Amri Jeshi Mkuu wa kuuza makaa! Aibu kubwa..Haikosi Mhe JPM na Museven hua wana anagua kicheko wanapokua na kikao na uhuru..yaani seriously? Kumbe ni suti aliyo ivaa inampa heshima? Jamaa ni kwaida Charcoal trader
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wewe jamaa tangu ukose ajira serikalini baada ya kushindwa kutimiza vigezo kwenye interview, siku hizi umekuwa mtu wa kukosoa kila jambo zuri lenye utanzania ndani yake.

hata sikushangai. karibu tena bro. comment zako muhimu sana.

umeshawahi kufika mirerani??

NB
Madini sio maharage.
 
kiboko yako mkikuyu akili timamu. [emoji23] [emoji23]
 
tanzanite ni gemestone, ina thamani kuliko hata dhahabu ujue, kwa mtu aliyepigika na maisha kama vyuma vya magufuli hivi, hivi unaona kuna ugumu wowote hapo kuruka huo ukuta?hahahaha, sihamasishi lakini natoa challenge ili kama kuna doria iandaliwe ya ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…