JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Kazi kubwa ambayo Jeshi la kenya linafanya ni Kuiba na kuuza makaa ya Somalia. Tuseme ukweli hapa, Kila mara kwa mara unasikia kambi imeshambuliwa na alshabab kama wana jeshi wamevuta mablanketi waking'orota. Wakubwa wao nao kazi ni kupitisha sukari kwa boarder za somali wanaleta hapa kenya kuuza kwa bei ya kumvunja mkulima mkono. Juzi juzi tu walitaka kununua mindege mizee mizee yanaitwa "air tractors" kwa bei ya Morden Jet fighter kwa bahati nzuri wabunge wakakataa hilo

Sisi je ndege vp wenzetu saivi wana ndege yao binafsi shirika lao la ndege la kenya airways inayotoka Kenya hadi USA
 
Rais Uhuru Kenyatta na William Ruto ndo walipeleka KDF Somalia? Aisee, we jamaa itabidi urudi shule. Wewe ni mkenya wa aina gani kama hata hujui KDF walifika Somalia lini na kwanini? Kwani ndo upo darasa la saba? Kamuulize baba yenu Raila kwanini alichapa muhuri kwenye uamuzi wa KDF kuingia Somalia. Kojoa ukalale, usije ukaniambukiza ujinga bana!
Amri Jeshi Mkuu wa kuuza makaa! Aibu kubwa..Haikosi Mhe JPM na Museven hua wana anagua kicheko wanapokua na kikao na uhuru..yaani seriously? Kumbe ni suti aliyo ivaa inampa heshima? Jamaa ni kwaida Charcoal trader
 
Amri Jeshi Mkuu wa kuuza makaa! Aibu kubwa..Haikosi Mhe JPM na Museven hua wana anagua kicheko wanapokua na kikao na uhuru..yaani seriously? Kumbe ni suti aliyo ivaa inampa heshima? Jamaa ni kwaida Charcoal trader
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wewe jamaa tangu ukose ajira serikalini baada ya kushindwa kutimiza vigezo kwenye interview, siku hizi umekuwa mtu wa kukosoa kila jambo zuri lenye utanzania ndani yake.

hata sikushangai. karibu tena bro. comment zako muhimu sana.

umeshawahi kufika mirerani??

NB
Madini sio maharage.
 
kiboko yako mkikuyu akili timamu. [emoji23] [emoji23]
 
hilo ulilo zungumza linawezekana ila kuna ile namna ya kumchelewesha mwizi wakati anatimiza uhalifu wake.

ni kwamba hata kama kutakuwa na watu watakaothubutu kutorosha tanzanite isivyo halali toka eneo la ndani la machimbo, basi zoezi hilo liwe na ugumu fulani.

chukulia kwa mfano wezi wanavyo struggle kupanga mikakati ya kuiba pesa bank licha ya ulinzi mkali uliowekwa.
tanzanite ni gemestone, ina thamani kuliko hata dhahabu ujue, kwa mtu aliyepigika na maisha kama vyuma vya magufuli hivi, hivi unaona kuna ugumu wowote hapo kuruka huo ukuta?hahahaha, sihamasishi lakini natoa challenge ili kama kuna doria iandaliwe ya ukweli.
 
Back
Top Bottom