mamajordan
Member
- Jan 5, 2018
- 6
- 4
Kazi kubwa ambayo Jeshi la kenya linafanya ni Kuiba na kuuza makaa ya Somalia. Tuseme ukweli hapa, Kila mara kwa mara unasikia kambi imeshambuliwa na alshabab kama wana jeshi wamevuta mablanketi waking'orota. Wakubwa wao nao kazi ni kupitisha sukari kwa boarder za somali wanaleta hapa kenya kuuza kwa bei ya kumvunja mkulima mkono. Juzi juzi tu walitaka kununua mindege mizee mizee yanaitwa "air tractors" kwa bei ya Morden Jet fighter kwa bahati nzuri wabunge wakakataa hilo
Sisi je ndege vp wenzetu saivi wana ndege yao binafsi shirika lao la ndege la kenya airways inayotoka Kenya hadi USA