JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Expansion Joint zikianza ndio tutaelewana
 
Ukuta pekee ambao wakenya wameujenga nyuma ya muda ni uelewa.

Namuheshimu sana mtu anayejielewa. Hata usipomjengea ukuta, hatofanya kama kitu hakipendezi.

I wish ningekua citizen wa Kenya. Nisingekua hivi nilivyo
Pole kwa kuzaliwa ndani ya nchi ya mazero brain! Welcome to Kenya! Kuwa raia wa Kenya kama mzawa wa Afrika mashariki ni jambo rahisi sana. Kitambulisho chako tu, afu uwe tayari kuchapa kazi kweli kweli!
 
Mererani acha kujitoa ufahamu
wengine huandika "mirerani" wengine huandika "mererani" kama wewe ulivyo andika hapo juu.

unapotaja eneo yanapochimbwa madini ya tanzanite,jina "mirerani au mererani" humainisha eneo la kata moja inayopatikana katika wilaya ya simamjiro mkoani manyara.

hivyo basi, mirerani au mererani ni sahihi tu.

350cad47b645e7cabdd4944b128d2719.jpg
 
Sasa ile tanzanite mliokuwa mnaiiba na kuandika made in kenya sasa wale mliokuwa mnawauzia nendeni mlima kenya mchukue jabali lolote mpasue na kuwapelekea. Zamani mlikuwa mnasema ni madini yenu tunauchuna tuu na kulalamika, mkasema mlima kilamanjaro tukawachunia tuu na kuendelea kulalamika, mkasema serengeti ni ya kwenu tukauchuna tuu na kulalamika. Sasa amekuja YOHOHANE MBATIZAJI anayebatiza kwa moto. Ni usawa wa kutenda sio kulalamika
Kwani Kilimanjaro na Serengeti yetu pia zipo ndani ya ukuta huo? Watz buana!
 
Expansion Joint zikianza ndio tutaelewana
asante kwa comment yako iliyoenda shule.... hakika wewe ni "great sinker".
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tanzania na Kenya ni nchi ipi Shithole? Kumbuka Kenya mlikubali kuitwa shithole!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
jamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...😀😀😀😀😀hii ndio huwa tunaita third world mentality
We jamaa acha hizo .
Ndio upeo unavyoona hivyo
 
Kazi kubwa ambayo Jeshi la kenya linafanya ni Kuiba na kuuza makaa ya Somalia. Tuseme ukweli hapa, Kila mara kwa mara unasikia kambi imeshambuliwa na alshabab kama wana jeshi wamevuta mablanketi waking'orota. Wakubwa wao nao kazi ni kupitisha sukari kwa boarder za somali wanaleta hapa kenya kuuza kwa bei ya kumvunja mkulima mkono. Juzi juzi tu walitaka kununua mindege mizee mizee yanaitwa "air tractors" kwa bei ya Morden Jet fighter kwa bahati nzuri wabunge wakakataa hilo
 
We jamaa acha hizo .
Ndio upeo unavyoona hivyo
ukija Kenya, ukuta tu sio kipimo cha maendeleo...ila naona kwenu mtu akijenga ukuta mnatamani kufanya party😀😀😀fikira za kiafrika hizi...ndio maana waafrika hatufiki mahali tunadharauliwa kila uchao
 
Kazi kubwa ambayo Jeshi la kenya linafanya ni Kuiba na kuuza makaa ya Somalia. Tuseme ukweli hapa, Kila mara kwa mara unasikia kambi imeshambuliwa na alshabab kama wana jeshi wamevuta mablanketi waking'orota. Wakubwa wao nao kazi ni kupitisha sukari kwa boarder za somali wanaleta hapa kenya kuuza kwa bei ya kumvunja mkulima mkono. Juzi juzi tu walitaka kununua mindege mizee mizee yanaitwa "air tractors" kwa bei ya Morden Jet fighter kwa bahati nzuri wabunge wakakataa hilo
mkikuyu akili timamu,
asante sana kwa comment yako. ila tegemea matusi na kashfa toka kwa blind patriot wa kikenya wa hapa jf.

sitoshangaa wakisema wewe si mkenya.
 
nilijua lazima utakuja ku-comment kwa jazba na hasira. karibu sana buda.

topic kama hizi zinahitaji sana opinion za watu wenye hasira kama nyinyi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

BTW,vipi kuhusu swali langu pale juu kwenye mada kuu?.

Ungekua unafafanua ni kwanini ukuta kujengwa huko kwa tanzanite badala ya heka heka mingi! Unavyojua hakuna Mkenya huchimba hiyo tanzanite yenu,ni nyinyi wenywe na kuuzia Wakenya na Wahindi. Makosa iko wapi ikiwa Kenya na India ndio world's largest tanzanite exporters and sellers yet tanzanite is only found in one place in the world-Mirerani,Tz! Digest that then tell me who's the smart one!! 😀😀😀
 
tanzania shithole
ur official Govt stand as shithole Kenya

Kenya officially responds to Donald Trump's shithole remarks

Author: Rene Otinga
UPDATED: 29 DAYS AGO

Government Spokesman Erick Kiraithe said Kenya is not bothered with US President Donald Trump's recent condescending comments about African countries

- He said Kenya had "no problem" with the vulgar remarks which has raised a storm

- Several African countries have condemned Trump for the comments

- Kenya was recently allowed to have direct flights to the US after passing stringent security tests State House has finally broken its silence on the explosive comments made by US President Donald Trump in reference to Third world countries.

Government spokesman Eric Kirathie has set the record straight, regarding the issue, clafifying the the Kenyan government had no issue with the recent remarks by Donald Trump.

Read more: Kenya officially responds to Donald Trump's shithole remarks
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Sasa ile tanzanite mliokuwa mnaiiba na kuandika made in kenya sasa wale mliokuwa mnawauzia nendeni mlima kenya mchukue jabali lolote mpasue na kuwapelekea. Zamani mlikuwa mnasema ni madini yenu tunauchuna tuu na kulalamika, mkasema mlima kilamanjaro tukawachunia tuu na kuendelea kulalamika, mkasema serengeti ni ya kwenu tukauchuna tuu na kulalamika. Sasa amekuja YOHOHANE MBATIZAJI anayebatiza kwa moto. Ni usawa wa kutenda sio kulalamika
jengeni ukuta tu ni poa mkichunga rasilimali zenu...ila hii sio habari za kuleta mitandaoni na kujivunia vunia hapa kule kana kwamba ndio ukuta wa kwanza duniani...
 
ur official Govt stand as shithole Kenya

Kenya officially responds to Donald Trump's shithole remarks

Author: Rene Otinga
UPDATED: 29 DAYS AGO

Government Spokesman Erick Kiraithe said Kenya is not bothered with US President Donald Trump's recent condescending comments about African countries

- He said Kenya had "no problem" with the vulgar remarks which has raised a storm

- Several African countries have condemned Trump for the comments

- Kenya was recently allowed to have direct flights to the US after passing stringent security tests State House has finally broken its silence on the explosive comments made by US President Donald Trump in reference to Third world countries.

Government spokesman Eric Kirathie has set the record straight, regarding the issue, clafifying the the Kenyan government had no issue with the recent remarks by Donald Trump.

Read more: Kenya officially responds to Donald Trump's shithole remarks
shithole ni sie wote...hata ukamwuliza Donald Trump atakuambia...afrika nzima incuding nyie hapo mnaosherehekea ujinga wa ukuta
 
Back
Top Bottom