Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
true....yaani ushithole umemjaa akiliniShithole minds. Hawa JKT ndo wale vijana wa NYS au? Maanake sijaelewa kwanini wanafananishwa na KDF ambao kazi kama hizi huwa hawafanyi. KDF wanajenga kuta za defence kwenye nchi ya wenyewe, Somalia lakini sijasikia hata siku moja wakipiga ving'ora kwasababu ya vitu kama hivo. Mirereni kwanza ndo nini? Agizo lilipeanwa na nani, na kwa nini? Jamaa anadhani wakenya wana umbea wakufatafata vitu kama hivo.