JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Shithole minds. Hawa JKT ndo wale vijana wa NYS au? Maanake sijaelewa kwanini wanafananishwa na KDF ambao kazi kama hizi huwa hawafanyi. KDF wanajenga kuta za defence kwenye nchi ya wenyewe, Somalia lakini sijasikia hata siku moja wakipiga ving'ora kwasababu ya vitu kama hivo. Mirereni kwanza ndo nini? Agizo lilipeanwa na nani, na kwa nini? Jamaa anadhani wakenya wana umbea wakufatafata vitu kama hivo.
true....yaani ushithole umemjaa akilini
 
ukuta wenyewe nilidhani ni kama ule wa China ambao unaonekana toka space....kumbe ni ukuta wa kawaida tu kule msituni kuliojaa vumbi...
 
kile unafaa kuelewa ni kuwa Kenya ukuta sio kipimo cha maendeleo....kazi inafanywa bila kupiga piga mayowe....ukuta ni ukuta tu....wacha tusherehekee mambo mengine ya maana...
imagine huo ukuta ungejengwa na kdf na ungekamilika nyuma ya mda, jf na twitter kungelipuka kwa lugha za kibehi dhidi ya majeshi ya nchi zingine including tz.
jwtz na jkt oyeeeeee.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
ukuta wenyewe nilidhani ni kama ule wa China ambao unaonekana toka space....kumbe ni ukuta wa kawaida tu kule msituni kuliojaa vumbi...
hili sasa povu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

btw hamja jibu swali langu.
 
JKT(tz)= NYS(Ke). KDF ipo kazini kule Somalia, JWTZ wako wapi sasa hivi? Au ndo wanachangamkia fursa ya kufanya mazoezi na wapinzani kwa kuwapiga hadi kufa? Mleta mada kadoda11 ni mhenga hapa jf ila naona kwenye mada za kipumba kama hizi ndo huwa ananawiri.
 
Ukuta pekee ambao wakenya wameujenga nyuma ya muda ni uelewa.

Namuheshimu sana mtu anayejielewa. Hata usipomjengea ukuta, hatofanya kama kitu hakipendezi.

I wish ningekua citizen wa Kenya. Nisingekua hivi nilivyo
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
maxresdefault.jpg
Mradi mzuri wa Nyang'au kupigwa tena hehehe ,tofautisha ukuta usionafaida yyte na ukuta wakuzuia mali ni mbingu na ardhi
 
Ukuta pekee ambao wakenya wameujenga nyuma ya muda ni uelewa.

Namuheshimu sana mtu anayejielewa. Hata usipomjengea ukuta, hatofanya kama kitu hakipendezi.

I wish ningekua citizen wa Kenya. Nisingekua hivi nilivyo
kwa hiyo unataka tukusaidiaje?...uelewa unatokana na kiwango chako cha elimu.

mlaumu baba/mama yako kwa kutokukupeleka shule.binafsi sina la kukusaidia.
 
yaani wakenya tangu muanze kuchangia thread hii ni mapovu tu mwanzo mwisho.

hakika tz inawanyima usingizi.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
maxresdefault.jpg
Sawa so we unafaidika nn huko
 
alafu kwa taarifa yenu nyie 4th world country, Kenya inajenga ukuta somali border nzima toka kwa bahari la hindi mpaka Kenya Ethiopia Somalia border convergence point....sio 25 km mtu anaanza kuimba imba kana kwamba sijui ameshinda lottery...
maxresdefault.jpg
huo ni ukuta? Ukijibu hapo nitajua if you have sense or na.
 
jamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...😀😀😀😀😀hii ndio huwa tunaita third world mentality
Sasa ile tanzanite mliokuwa mnaiiba na kuandika made in kenya sasa wale mliokuwa mnawauzia nendeni mlima kenya mchukue jabali lolote mpasue na kuwapelekea. Zamani mlikuwa mnasema ni madini yenu tunauchuna tuu na kulalamika, mkasema mlima kilamanjaro tukawachunia tuu na kuendelea kulalamika, mkasema serengeti ni ya kwenu tukauchuna tuu na kulalamika. Sasa amekuja YOHOHANE MBATIZAJI anayebatiza kwa moto. Ni usawa wa kutenda sio kulalamika
 
naona majirani wamerudi kwenye archive yao kutafuta jibu linaloendana na swali langu.ila sidhani kama watapata jibu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
aroo acha utani, kuna ule ukuta wa kutenganisha Somalia na Kenya tupewe jibu umefika wap? Juzi wamechapana risasi huko..
 
Back
Top Bottom