JKT Tanzania yakamilisha ukuta wa Mirereni nyuma ya muda, vipi kuhusu majeshi ya Kenya?

Wewe ni Mtanzania na kama ni Mkenya basi ni Mkenya mjinga tu.
That is your biased opinion, to me Mkikuyu Timamu is one of the few sane Kenyans in here. He speaks his mind, Keep it up Mkikuyu Timamu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
jamaa wamejenga ukuta sasa wanasherehekea na msosi, vinywaji, shangwe na nderemo....kidogo tu wanunue fireworks kisa ukuta...😀😀😀😀😀hii ndio huwa tunaita third world mentality

Kwenye kampeni ya urais wa Marekani Trump alihaidi kujenga ukuta kwenye mpaka wa nchi yake na Mexico lakini mpaka leo hola.Acheni kubeza
 
hivi huo ukuta kwa mtu aliyeshika kipande cha Tanzanite ya milioni kama mia moja hivi, hawezi kuupanda na kuruka kweli au kuchimba na kutokea upande mwingine? watakuwa na doria bila shaka kwenye ukuta humo usiku na mchana? tuambieni essence ya huo ukuta, sisi wengine hatujawahi hata kufika huko mererani wala kuchimba madini popote duniani. thanks.
 
That is your biased opinion, to me Mkikuyu Timamu is one of the few sane Kenyans in here. He speaks his mind, Keep it up Mkikuyu Timamu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Kuna njia mingi za kuua paka(there many ways to kill a cat) Hii paka Shume ya Jubilee JPM ameishika mapua hawezi kupumua, Mchina na wazungu wa eurobond nao wananinginia na mak*nde yake, kisu chakumkata koo kinatiwa makali na Wakikuyu sio wajaluo. Siku ipo itafika tuu
 
hilo ulilo zungumza linawezekana ila kuna ile namna ya kumchelewesha mwizi wakati anatimiza uhalifu wake.

ni kwamba hata kama kutakuwa na watu watakaothubutu kutorosha tanzanite isivyo halali toka eneo la ndani la machimbo, basi zoezi hilo liwe na ugumu fulani.

chukulia kwa mfano wezi wanavyo struggle kupanga mikakati ya kuiba pesa bank licha ya ulinzi mkali uliowekwa.
 
Kuna njia mingi za kuua paka(there many ways to kill a cat) Hii paka Shume ya Jubilee JPM ameishika mapua hawezi kupumua, Mchina na wazungu wa eurobond nao wananinginia na mak*nde yake, kisu chakumkata koo kinatiwa makali na Wakikuyu sio wajaluo. Siku ipo itafika tuu
Unalilia nini bana ama unataka nikupe 'direction' za kufika kwa ikulu ya rais wenu Raila? Acha nitumie lugha utakayoilewa kama mkenya, chapa left kisha nyonga right, ukifika hapo ulizia Milembe ni wapi. 😀😀😀
 
Word.. [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Unalilia nini bana ama unataka nikupe 'direction' za kufika kwa ikulu ya rais wenu Raila? Acha nitumie lugha utakayoilewa kama mkenya, chapa left kisha nyonga right, ukifika hapo ulizia Milembe ni wapi. 😀😀😀
Buda mimi mkikuyu na tutamuodoa Jinga uhuru mamlakani hivi karibuni. Wewe ni uandikwa kazi na itumbi kwa malipo duni ya 1000/- We shall use all means necessary including colluding with other nations to bankrup the country. We shall rebuild when these thieves and Goat fuckers are out
 
Ajabu kabisa hivi nje ya ukuta huo hakuna madini kweli maana can ni Tanzanite belt hata hapo nje ya ukuta yatakuwepo. Nawaza tuu kuna kaupungufu ka kufikiria hapo
 
Nani amekuuliza kabila lako? Unadhani ukikuyu ndo ujanja? Tunangoja baraza lenu la mawaziri nyinyi wanaNASA, hizo blah blah zingine fikisheni kwenye ikulu ya Raila. Kampeni zitaanza 2022!
 
Unalilia nini bana ama unataka nikupe 'direction' za kufika kwa ikulu ya rais wenu Raila? Acha nitumie lugha utakayoilewa kama mkenya, chapa left kisha nyonga right, ukifika hapo ulizia Milembe ni wapi. 😀😀😀
round hii mmekutana na mtu chuma mkikuyu akili timamu. lazima chupi ziwabane.

the guy knows kenya inside out.he even knows how to speak/write kikuyu properly.

that means you have no doubt about his citizenship. he his one hundred percent kenyan.mtajibeba[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nani amekuuliza kabila lako? Unadhani ukikuyu ndo ujanja? Tunangoja baraza lenu la mawaziri nyinyi wanaNASA, hizo blah blah zingine fikisheni kwenye ikulu ya Raila. Kampeni zitaanza 2022!
The problem with your small brain is that you think linearly NASA/Jubilee. There is nothing like NASA, The next revolution after the country is bankrupt will be led by Kenyans from all sides, uthamaki will be kicked out by kikuyus, Bankrupcy is very near, eurobonds are now maturing, chinese loans are due very soon, EAC market is locking kenya out. We shall overthrow Jubilee and hang uhuru and his mother who is a witch
 
Nani amekuuliza kabila lako? Unadhani ukikuyu ndo ujanja? Tunangoja baraza lenu la mawaziri nyinyi wanaNASA, hizo blah blah zingine fikisheni kwenye ikulu ya Raila. Kampeni zitaanza 2022!
punguza hasira msee.
 
Ajabu kabisa hivi nje ya ukuta huo hakuna madini kweli maana can ni Tanzanite belt hata hapo nje ya ukuta yatakuwepo. Nawaza tuu kuna kaupungufu ka kufikiria hapo
sidhani kama waliokuja na wazo la kujenga ukuta walikurupuka. lazima walifanya tafiti za kutosha kubaini eneo zima inakopatikana tanzanite kwa wingi.
 
That is your biased opinion, to me Mkikuyu Timamu is one of the few sane Kenyans in here. He speaks his mind, Keep it up Mkikuyu Timamu [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Yeye ni Sane Kenyan kwa sababu anatukana Uhuru na kusema Uhuru na Ruto wako na erect pennis? That imbecile should be banned from JF. And i am not a Jubilee supporter, I never even voted.
 
Kwani si wanaume? Wajinga wacha wapigwe za uso na EAC ikiongozwa na JPM wajue ubepari haulipi
 
Ungekua unafafanua ni kwanini ukuta kujengwa huko kwa tanzanite badala ya heka heka mingi! Unavyojua hakuna Mkenya huchimba hiyo tanzanite yenu,ni nyinyi wenywe na kuuzia Wakenya na Wahindi. Makosa iko wapi ikiwa Kenya na India ndio world's largest tanzanite exporters and sellers yet tanzanite is only found in one place in the world-Mirerani,Tz! Digest that then tell me who's the smart one!! 😀😀😀
Kenya and India are no longer, long time before the wall
 
Yeye ni Sane Kenyan kwa sababu anatukana Uhuru na kusema Uhuru na Ruto wako na erect pennis? That imbecile should be banned from JF. And i am not a Jubilee supporter, I never even voted.
Wewe ume muita mwenzako mjinga kwa sababu ametofautiana mtazamo na wewe. Akisema erect penis kuna kosa gani!? wenzako mara ngapi wana mtusi magufuli kwa kulibadili jina lake mbona sijawahi kukuona ukiwa kemea. Dawa siku zote ni chungu ila inatibu.. Mkikuyu Timamu endelea kuwapa dose hawa wenzako wapone maradhi ya ujinga
 
shithole ni sie wote...hata ukamwuliza Donald Trump atakuambia...afrika nzima incuding nyie hapo mnaosherehekea ujinga wa ukuta
Oh, now ni sie wote. You was writing Tanzania shithole, while your government adhered Trump rhetorics
 
Yeye ni Sane Kenyan kwa sababu anatukana Uhuru na kusema Uhuru na Ruto wako na erect pennis? That imbecile should be banned from JF. And i am not a Jubilee supporter, I never even voted.
shida iko wapi?, kuna watz na baadhi wakenya hapa hapa jf, wanamuita magufuli "********".

hata siku moja hutakuja kuona mtu yoyote akilalamika au kuomba fulani apigwe ban kwa kosa hilo la kumtusi rais wa tz.

huo ndio uhuru wa kujieleza ambao mtu yoyote anapwaswa au enjoy.

anatukwana rais wa taifa lenye nguvu ya kijeshi na kiuchumi duniani donald trump, sembuse huyo uhuru na ruto. wao ni nani katika dunia hii?.
 
Back
Top Bottom