jkt yaongeza majina ya wanafunzi kidato cha sita awamu ya 3

Mkuu nisaidie link tafadhali..! Bora niende Jkt nikachukue mbinu ili mwakani wakiniwekea tena not secure niwa al-shabab
 
hapo ujue wanafunz hamna wa kwenda ndo maana wameongeza tena.
 
Hata me naona wamekosa vijana. Na mtu akijichanganya kwenda atajilaumu maana watu watakua wachache sana!!
 
jaman kuna mdogo wangu kapangiwa bulombora kgm hv coz itaisha mwez wa kwanza kweli au ndo watapigishwa kwata hadi mwez april.,ujue dogo anataka akirud hyo januar ajiandae na pepa la 6 hapo may
 
jaman kuna mdogo
wangu kapangiwa bulombora kgm hv coz itaisha mwez wa kwanza kweli au ndo
watapigishwa kwata hadi mwez april.,ujue dogo anataka akirud hyo januar
ajiandae na pepa la 6 hapo may

kozi ni 3 months not more than hiyo!
 
jkt haina formula..wanaweza kupiga coz miezi 6..nikweli kwamba jkt wamekosa vijana wakwenda na ndiomaana wakaongeza majina ya vijana wengine ambao hawana sifa ya kwenda kujiendeleza na bachela..namaanisha kwa wale form 6 walio pata dv 4 na 0 ..jkt inaamini kwamba walio pata hizi dv zamwisho hawana pakwenda na nilazima waende jkt kumbe si sawa kuna wapo ambao washaanza chuo kwa ngazi ya dploma sijui itakuwaje kwao.pole sana mlio kutwa na hili janga
 
hapa sasa angalau nimeona mbele ujue dogo amepostpone arudie mtihan so ngoja nimshaur aachane na huko patamuharibia kabsa yan badala asafishe cheti atakichafua...kama mpaka wenye four na zero wamepelekwa hakika mziki ni mnene
 
jkt haina formula..wanaweza kupiga coz miezi 6..nikweli kwamba jkt wamekosa vijana wakwenda na ndiomaana wakaongeza majina ya vijana wengine ambao hawana sifa ya kwenda kujiendeleza na bachela..namaanisha kwa wale form 6 walio pata dv 4 na 0 ..jkt inaamini kwamba walio pata hizi dv zamwisho hawana pakwenda na nilazima waende jkt kumbe si sawa kuna wapo ambao washaanza chuo kwa ngazi ya dploma sijui itakuwaje kwao.pole sana mlio kutwa na hili janga

wataandika barua ya kuhairisha mafunzo kama sisi..

"simple and clear"
 
Mkuu nisaidie link tafadhali..! Bora niende Jkt nikachukue mbinu ili mwakani wakiniwekea tena not secure niwa al-shabab

Hiyo mbona watu watakaoenda kwa nia kama ya kwako na wengine nia kama hiyo itatokea mbele ya safari ni wengi tu we ngoja
 
hapo ujue wanafunz hamna wa kwenda ndo maana wameongeza tena.

Na bado hawataenda mpaka vita inayokuja ipite kama cyo zambia ama rwanda basi itatokea ya ubishi wa ccm kutoka madarakani hapo next election
 
jaman kuna mdogo wangu kapangiwa bulombora kgm hv coz itaisha mwez wa kwanza kweli au ndo watapigishwa kwata hadi mwez april.,ujue dogo anataka akirud hyo januar ajiandae na pepa la 6 hapo may

Wewe mwache mtoto asome kwanza
 
Duh nchi inapokuwa na viongoz vipofu hakika kila jambo litakwenda kiupofu upofu 2meegemea maombi ya kulombea aman taifa badala ya kuombea viongozi waondoken na upofu ili waweze kuiona hyo amani na kuitunza eeh mungu tunakukabidhi maisha yetu mikononi mwako sasa
 
Back
Top Bottom