T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Nimejuaje? Kwani we kujua Singida ipo ni lazima ufike uko.Sasa km hukwenda unajuaje unakataaje mtoto wa kike kwenda? Au habari za kusimuliwa ndo zinakupumbaza??
Jina nanJamani Nimepangiwa nachingwea huko lindi wajuvi tujuzane niko huku kwa ustaz juma na Musoma
Haipo hivyo huwa kuna likizo ya wiki moja hadi mbili ku apply mikopo.Nendeni mkateseke mkifika chuo, hajila hamna na mkopo unaweza usipate mda wa kuomba unakuwa upo bize kugalagazwa kwenye matope
Washkaji zangu wana nyota nowJK alikuwa mtu poa sanaaa
Nchi imesambaratika hakuna mawasiliano kati ya kitengo/Idara moja ya serikalini na nyingine.
Hawa wanafunzi wanatakiwa kuanza kujaza maombi ya Loan Board mwisho wa July. Wakati huo huo waende JKT.
Matokeo yatoke August wakiwa Jeshini halafu waanze kuomba Vyuo Vikuu.
Awamu ya viroja hii.
Halafu wameanza kuwabebesha wazazi mizigo wa kununua vifaa. Wameomba kwenda huko? Kwa nini serikali isinunue?
Utashangaa wao wenyewe ndiyo wauzaji vifaa vinavyotakiwa.
Wazee wa Elimu bure hao.
Mkuu usishangae kwa hili. Kwenda jkt ni hiari ya mtu. Ila mizazi mingi inachekelea na kukenua meno utadhani mtoto anaenda kuajiiwa huko. Iko tayri ikakope ili mradi mtoto aende. Mimi mwanagu awe wa kike au wa kiume No kwenda kupoteza mda hukoNchi imesambaratika hakuna mawasiliano kati ya kitengo/Idara moja ya serikalini na nyingine.
Hawa wanafunzi wanatakiwa kuanza kujaza maombi ya Loan Board mwisho wa July. Wakati huo huo waende JKT.
Matokeo yatoke August wakiwa Jeshini halafu waanze kuomba Vyuo Vikuu.
Awamu ya viroja hii.
Halafu wameanza kuwabebesha wazazi mizigo wa kununua vifaa. Wameomba kwenda huko? Kwa nini serikali isinunue?
Utashangaa wao wenyewe ndiyo wauzaji vifaa vinavyotakiwa.
Wazee wa Elimu bure hao.
Inawezekana hali imebadilika baada ya serikali kuliona hilo tatizo , na ni juu ya jkt kutoa assurance kwa recruit kwamba huko ni strictly mambo ya kijeshi , uzalishaji mali basi sio uonevuacha tu, mabinti wengi wanatoka huko na UKIMWI, ndoto zao zinaishia hapo, laiti wazazi wangejua kinachoendelea huko, wangesikitika sana
Nami nimepangwa Huko but nimesoma comment natamani kuahirisha aseeeJamani Nimepangiwa nachingwea huko lindi wajuvi tujuzane niko huku kwa ustaz juma na Musoma
Nimeskia inawezekana kuhama kambi nina mpango niingie rwamkoma coz niko Mara ila Nimepangiwa Lindi gharama sitaziweza au kuna tatizo wadauJamani Nimepangiwa nachingwea huko lindi wajuvi tujuzane niko huku kwa ustaz juma na Musoma