JNICC: Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa Nchini

Tangu lini jizi likajishitaki? Kwanini tangu Tanganyika ipate uhuru ni maskini sana wa kipato kwa raia wake?
 
Update 1.
Rais Samia ameingia ukumbini, nyimbo za taifa ya Tanzania na Africa Mashariki zimepigwa.
Sasa ni sala ya Kikristu imetolewa na Askofu Alex Malasusa na sasa ni Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam akipiga dua.
P
 
Mhe. Juma Ali Khatib, Mwenyekiti wa Baraza vyama vya siasa anatoa makaribisho rasmi.
P
 
Baraza la vyama vya siasa limempongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa.
P
 
Sasa anaongea Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa akitoa utambulisho wa wageni waliopo zaidi ya Rais Samia
yupo Msajili wa Vyama,
Makamo wa Kwanza wa Zanzibar OMO
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Majaliwa
Waziri Mhagama, RC wa DSM, M/Mwenyekiti CCM, Kinana, katibu Mkuu wa CCM, Chongolo,
P
 
Wanafiki hakuna jipya.
 
Please kaa kimya. Ulipata kura moja.
 
Wageni maarufu, Jaji Warioba, Msajili Mstaafu Jaji Tendwa, Prof. Lipumba, Zitto Kabwa, Prof. Mkandara, mabalozi wa nje wamehudhuria kwa wingi. Jussa.
Vyama vyote 19 vya siasa vimewakilishwa. Mzee John Cheyo, Jaji. Warioba
p
 
Kauli Mbiu ni Tunza Demokrasia, Imarisha Amani. Sasa anazungumza Msajili wa vyama Jaji Francis Mutungi.
P
 
Hali ya siasa za Tanzania ni mbaya na majibu yake yako wazi wala hayahitaji mjadala ya kijinga na kipumbavu ,Mjadala huo wote kama hautajadili haki za watanzania walio wengi kuchagua viongozi wanaowataka na kuheshimu haki hiyo ya watanzania,basi huo mkutano utakuwa ni wa kipumbavu na hauna maana zaidi ya kuendelea kutafuna fedha za UMMA.Na huo mkutano CCM waulizwe na wajiulize kwa nn Hawataki wananchi wenyewe wawachague badala yake wao wanajichagua na wajiulize pamoja na SAMIA je wanayatamani machafuko ya kisiasa nchini Tanzania na kama hawayataki basi jibu ni moja tu nalo ni kuacha WANANCHI WACHAGUE VIONGOZI WAO WANAOWAJUA NA KUFAHAMU UTENDAJI WAO.Huko tuendako lzm kujua kwamba wananchi wanachoka tena sana hivyo uongozi wenye kuona mbele ndio unaohitajika na sio Viongozi mbumbumbu ambao hawawezi kung'amua chochote.Watu watakapofika kwenye kikomo cha uvumilivu atakayekuwa amewafikisha hapo ni CCM na serikali yake,CCM HII YA SAMIA inajisikiliza yenyewe na haitaki kusikiliza wananchi ni hatari maana viongozi tulionao ni WAASI dhiti ya wananchi.Hali ya maisha ni ngumu sana na kazi ya viongozi kwa sasa inaonekana ni kujitahidi kwa namna yoyote kuhakikisha maisha ya watu yanakuwa magumu,uongozi wa namna hii unaojishibisha na kuvaa na kulala vzr hauwezi kujali wananchi,Rais akilewa madaraka LAZIMA AKAE KIMYA KWA SABABU HAKUNA JAMBO LINALOMUHUSU AU KUMKERA ANALO WEZA KULIZUNGUMZIA HALIPO.TUENDELEE KUMUOMBA MUNGU ILI WANANCHI NA JESHI LAO LA WANANCHI WA TANZANIA WAPATE AKILI YA KULINDA NA KUTETEA TAIFA DHIDI YA ULANGUZI NA UDALALI WA MALIASILI ZA TAIFA HILI,MUNGU AWAONDOE WANANCHI NA JESHI LAO KUTOKA KATIKA USINGIZI WA KIFO, NA KUAMKA NA KULINDA KWELI MIPAKA NA RASILIMALI NA KUEPUKA UBINAFSI UNAOENDELEA KUTAMALAKI HASA JESHINI,ILI TAIFA LISIACHIWE KWA WANASIASA PEKEE AMBAO HUFANYA KAZI YA KUJINUFAISHA KWA UFISADI ULIOPITILIZA.MUNGU WABARIKI WATANZANIA WOTE NA TANZANIA YETU.
 
Wageni maarufu, Jaji Warioba, Msajili Mstaafu Jaji Tendwa, Prof. Lipumba, Zitto Kabwa, Prof. Mkandara, mabalozi wa nje wamehudhuria kwa wingi. Jussa.
Vyama vyote 19 vya siasa vimewakilishwa. Mzee John Cheyo, Jaji. Warioba
p

Hii listi haija kamilika kama Mwambukusi hayumo.
 
Yetu macho
 
Ifike mahali mjiheshimu, wananchi wamechoka kufanywa mafala. Huu mkutano hauna tofauti yoyote na seminar ya CCM. Nyie ni watu wazima, act like it.
 
Ifike mahali mjiheshimu, wananchi wamechoka kufanywa mafala. Huu mkutano hauna tofauti yoyote na seminar ya CCM. Nyie ni watu wazima, act like it.
Hakika kabisa ,wanasiasa wengi wa bongo ni vibaraka wa Chama tawala.
Ukiona mwanasiasa halumbani na poliCCM kaa naye mbali.Sababu Polisi wa bongo na CCM ni uji na mgonjwaπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…