Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Joan Garcia aliekuwa kipa wa Espanyol amepata vitisho kutoka kwa mashabiki wa timu hiyo, baada ya kukamilisha dili lake la kutimkia Barcelona.
Baadhi ya marafiki zake wa karibu wanamuunga mkono kwa kulamba dili hilo lakini raia wengine hawataki kuambia kitu.
Ikumbukwe Espanyol na Barcelona wanatoka katika mji mmoja hivyo mashabiki wa Espanyol wanamuona Garcia kama snitch.
Amekuwa akipokea vitisho mbaka kufikia hatua ya kubadilisha namba ya simu na kutohudhuria matukio ya kijamii.
Chanzo: Goal