Joan ni nani kwa Martha Mwaipaja? Nini chanzo cha utata? Ni kweli au kiki?

ACHA kufuatilia MAISHA za watu....tumia muda huo kufanya maendeleo yako binafsi.....uchawi unaanziaga hivihivi
 
Ukijua itakusaidia nini?
 
Kiki
 
Achana na waume za watu wewe
 
Joan ni adui wa Martha wa kiroho kwa sasa, SHETANI amemvaa anamtumia kumvuruga kiroho na sasa kimwili.

Martha ameshindwa kupigana vita hii kiroho sasa imehamia mwilini.

NB: Biblia inasema adui wa mtu ni mtu wa nyumbani mwake
 
Aisee
 
Joan anasagana na Martha katika kumridhisha Martha Hisia zake za kingono kufuatia Martha kupigwa Marufuku kua na Mwanaume kama anahitaji kutoboa .

Huu mtandao ni mrefu, unakula mpaka Shusho , na viongozi .

Hii vita ni ngumu tata🤣
Hii ndo ya kibabe !!

Kwamba mganga wake kakataza asiwe na mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…