joanal salamu

joanal salamu

Wanasema umuhimu wa kuku huonekana sikukuu ikikaribia, na ndege huhisi upweke awapo mbali na mwenza wake pengine hata kiota huonekana ukumbi mkubwa akatamani kukaa tu juu ya tawi akiangaza huku na huko labda pengine atamuona mpendwa wake akija.

Siku zote nimekuwa nikiwaza nitapata lini wasaa na fursa ya kukusalimia wewe uliye mpenzi wa moyo wangu @joanal Salamu

Sent using Jamii Forums mobile app

Baby kila siku unakosea jina langu
Ni joanah sio joanal
Uzi wa january huu naona leo

Nimekumiss kipenzi changu...siku hizi sikuoni hata ukiwa active kama zile enzi zetu
Fanya urudi my dear❤
 
Baby kila siku unakosea jina langu
Ni joanah sio joanal
Uzi wa january huu naona leo

Nimekumiss kipenzi changu...siku hizi sikuoni hata ukiwa active kama zile enzi zetu
Fanya urudi my dear[emoji173]
@joanah
 
Back
Top Bottom