Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Achana nao stress zinawasumbua tu hawa wazee na visukari na pressure so lazma wajibu hovyoKwa hapa wewe unaonekana mjinga kuliko mie nilieuliza swali.
Jf ina great thinkers kibao, nikategemea nitajibiwa na mmoja kati yao bahati mbaya umejibu wewe.
Moja ya faida za hii jf ni kutoana tongotongo cha ajabu kuna ujuaji usio na faida.
Kama hujui kausha si lazima kujibu au kukejeli.