Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mtu akiuliza mtu fulani ni nani ni swali la kitoto??Bado swali lako ni la kitoto
Sio kesi ni vile wewe uonavyo lakini pamoja na utoto wake wadau wastaarabu wametoa majibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akiuliza mtu fulani ni nani ni swali la kitoto??Bado swali lako ni la kitoto
Huwa nawamind sana watu wajinga wajinga, wapumnavu ndi haswaaa!We mzee vipi aisee.
Tafuta ugali wa wanao achana na hiyo comment yangu, naona unamind kabisa mi kutokumjua huyo mtu.
Nishakwambia sijaenda google na hapahapa jf nimeambia alikua nani, sasa wewe kuja kuleta ujinga wako hapa kwani una hisa huko google.
Google, kuliko kuendelea kuthibitisha utoto wako hapo, kwani kuwa mtoto ni vibaya??Mtu akiuliza mtu fulani ni nani ni swali la kitoto??
Sio kesi ni vile wewe uonavyo lakini pamoja na utoto wake wadau wastaarabu wametoa majibu!
Tatizo lako hupendi kusoma, kama ungesoma replies huko juu usinge quate text yangu.Google, kuliko kuendelea kuthibitisha utoto wako hapo, kwani kuwa mtoto ni vibaya??
Endelea kuwamind ama lah acha nikupe sababu na suluhisho la kuwamind.Huwa nawamind sana watu wajinga wajinga, wapumnavu ndi haswaaa!
Mkuu mimi zuzu la mazuzu.Endelea kuwamind ama lah acha nikupe sababu na suluhisho la kuwamind.
Wewe unajihisi una maarifa mengi lakini HUNA, wewe ni mbumbumbu tu ila unaejiona unajua kila kitu. Hii inakufanya mtu asipojua kitu unachokijua wewe umuone hana akili, mjinga na mpumbavu saana kwakua hajui kitu kidogo, lakini umesahahu kua hicho kitu kidogo ww ukiwa na na miaka fulani au wakati hukusoma au kuambia kitu fulani hukua unajua kama huyo unaemuona hana akili na sio mfuatiliaji.
Ndio maana watoto wadogo wadogo huwa tunawajibu vizuri kadri ya maswali yao kwakua tunaamini hawajui kitu bali wanahitaji kujifunza. Sasa basi mtu asiejua mchukulie kama mtoto mdogo asiejua kitu(japo kwa mtu mzima muelekeze kiutu uzima zaidi bila kupoteza muda wako au kuathiri shughuli zako).
Hii ni psychological zaidi kama akili yako haimudu iache tu.
Tanzania
Zanzibar
Oman
Bado sijaona mataifa yanayoongea kiswahili hapa duniani kama (TZO) Huu utatu wanaongea kiswahili kizuri sana.
MK254 mnakwama wapi na kiswahili chenu!!
Umeona eeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]born in 2000, wengi wapo humu.Kumbe JF ina watoto kiasi hiki?
Umechanganya habari,hapa anazungumziwa Joaquim chissano sio Filipe Nyusi,Chissano ni Mmachangani sio Mmakonde.Chisano ni mmakonde leo anasema hajui kiswahili?
Anawachezea akili. JENERALI Hashim Mbita angekuwepo angecheka sana.
Sasa kumbe unajijua wewe zuzu la mazuzu halafu unashangaa mtu kuuliza swali ajinasue kwenye uzuzu kama wako.Mkuu mimi zuzu la mazuzu.
Nakutawanya kwa kwenda mbele.
Pambaf.
Watoto mashuleni siku hizi we wambie mondy konde,nandy,baba levo, mwijku, singeli,amapianoHivi siku hizi Somo la historia shule za Msingi hawafundishi kuhsu historia za wapigania uhuru na waliokuwa Marais wa Nchi za Afrika kina Kwame Nkrumah, Nnand Azikiwe,Ahmed Sekou Toure,Patrice Emely Lumumba, Edwardo Modlane,Samora Machel,Kenneth Kaunda,Kamuzu Banda, Joaquim Chisano,Augustino Netto,Felx Houphet, Leopard Sedar, Joseph Kasavubu, Joseph Desire Mobutu Sese seko Kuku Ngbendu wa Zabanga..........?