Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

Achana nao stress zinawasumbua tu hawa wazee na visukari na pressure so lazma wajibu hovyo
 
Hao wambie mambo ya konde gang mondi shilole udaku ndiyo wanajua

Ova
Unataka tumfatilie alfa blondi ,alichoki ,pepe kale ?
No way hao walifatiliwa na watu ambao ndio wanakaribia kufa sahivi au ku staafu

Tunaenda na trend



Ova
 
"Kama Joachim Chisano, juzi alikwenda kwenye mkutano, aliongea kiswahili. Watu walishangaa sana." Gen Z hawawezi kuelewa.
 
Unataka tumfatilie alfa blondi ,alichoki ,pepe kale ?
No way hao walifatiliwa na watu ambao ndio wanakaribia kufa sahivi au ku staafu

Tunaenda na trend



Ova
yeah very brilliant, kwamba yako ni leo tu uliyonayo mkononi, jana yanini!?!!?, hutaki kujua habari za JK nyerere,Tanganyika, chief Mkwawa,Mirambo, sekouture, kwame Nkrumah, Jomo Kenyata, pengine hata babu na bibi yako!! very good!!, lakini nashangaa umeuliza Chisano ni nani?!!!!!?
 
Joaquim Alberto Chissano ni mwanasiasa ambaye alikuwa Rais wa pili wa Msumbiji, kuanzia 1986 hadi 2005. Anasifiwa kwa kuibadilisha Msumbiji iliyokumbwa na vita kuwa mojawapo ya nchi za Afrika zenye demokrasia yenye mafanikio makubwa
Shukran mkuu.
Watu wazima wenye busara mko wachache sana humu.

Hawa kina mrangi ni watu wazima wa hovyo kabisa.
 
Kubali tu ww ni mjinga au unataka akuite mpumbavu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…