Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

Kwa huu muonekane wake na hizo ndevu nyeupe hapana aisee yaani huyu akiwa kinda sana basi ni miaka 48.
Kwamba anataka kutufanya sisi wote macho yetu hayaoni vizuri
Hapo sasa Mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila Onyango, khaaaah
Yaan mie ni mkubwa kuliko yeye, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…