Watawajadili na wake za wachezaji na familia zao ni suala la muda tu,Utopolo mpaka ifike mwezi wa tano mtakuwa mmeshajadili wachezaji wote wa Simba, wakati mnawajadili wenzenu watakuwa wananyanyua makwapa kubeba ubingwa.
Jamaa kawa ng'ombe tenaNg'ombe hazeeki maini...
beki bora Africa acheze league ya Tz?
Ndio ujue kwa sasa kunautofauti mkubwa sana Kati ya simba na yanga. Simba kuwa mchezaji Bora afrika haioni tatzo na ndiko inakoelekea lakini Yanga bado wako na zile fikra za kizamani kwamba ligi yetu haiwezi toa mchezaji akashindania mchezaji Bora wa afica. Acheni kuokoteza wachezi sajilini wachezaji wa viwango hamtaona tabu kubadili akili zenu kuona inawezekana kutoa mchezaji Bora afrikaLips tu! 👌
Wewe jifanye kama unajikuna mbele yake halafu rudi tena hapa tukupime marindaFanya hivyo
KweliNdio ujue kwa sasa kunautofauti mkubwa sana Kati ya simba na yanga. Simba kuwa mchezaji Bora afrika haioni tatzo na ndiko inakoelekea lakini Yanga bado wako na zile fikra za kizamani kwamba ligi yetu haiwezi toa mchezaji akashindania mchezaji Bora wa afica. Acheni kuokoteza wachezi sajilini wachezaji wa viwango hamtaona tabu kubadili akili zenu kuona inawezekana kutoa mchezaji Bora afrika
Ukisema ligi ya Tanzania itaonekana kama vile ni kitu kigumu, sema Simba jibu litakuwa ni ndiyo!beki bora Africa acheze league ya Tz?
Na ufundi nao umeenda?Ni kweli lakini umri umeenda