Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 553
Shukrani ndugu kwa kunifumbua machoMatapeli tu wale hakuna kitu, ili ujue niatapeli
1. Wanatoa tangazo ambalo halispecify qualifications, yaan mtu yeyote anaweza omba, mfano Position : Supervisor
Education: Diploma or degree (Hawasemi degree au diploma gani).
2. Ukituma CV wanakutumia ujumbe uwapigie.
3. Ukipiga wanakuelekeza upeleke copy ya CV ofisin kwao makumbusho ( wakati ulisha watumia kwenye email).
4. Ukipeleka mnapigishwa blaa blaa nyingi, alafu wanakwambia kujaza fomu ni elf 50.( Ukishajaza fomu ndo wanaaza kusambaza CV yako makampun mbalimbali kutafuta nafasi, kumbe hata hiyo nafas ya Supervisor haikwepo walitunga tu.
5. Kesho yake wanakupigia kwamba CV yako imepita hivyo ukajaze fomu (uwapelekee hiyo elf 50).
6.Ukishatoa hiyo hela ukae nyumban waanze kukusambazia CV yako (Umepigwa tayar).
.
Kumbe ni matapeli Mkuu?Matapeli tu wale hakuna kitu, ili ujue niatapeli
1. Wanatoa tangazo ambalo halispecify qualifications, yaan mtu yeyote anaweza omba, mfano Position : Supervisor
Education: Diploma or degree (Hawasemi degree au diploma gani).
2. Ukituma CV wanakutumia ujumbe uwapigie.
3. Ukipiga wanakuelekeza upeleke copy ya CV ofisin kwao makumbusho ( wakati ulisha watumia kwenye email).
4. Ukipeleka mnapigishwa blaa blaa nyingi, alafu wanakwambia kujaza fomu ni elf 50.( Ukishajaza fomu ndo wanaaza kusambaza CV yako makampun mbalimbali kutafuta nafasi, kumbe hata hiyo nafas ya Supervisor haikwepo walitunga tu.
5. Kesho yake wanakupigia kwamba CV yako imepita hivyo ukajaze fomu (uwapelekee hiyo elf 50).
6. Ukishatoa hiyo hela ukae nyumban waanze kukusambazia CV yako (Umepigwa tayar).
Naona umekuja kuwasafisha ingawa ukweli unabaki palepale kwamba hawa jamaa ni matapeli tu.Ukiona recruiting angency inataka kwanza uwalipe ndo wakutafutie interview ujue hamna kitu hapo.Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.
Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.
Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.
Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.
Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.
Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.
Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Wewe umepata wapi hiyo kazi na "Interviewees" yakoHawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.
Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.
Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.
Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.
Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.
Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.
Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Wewe huna tofauti na huyu 👇Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.
Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.
Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.
Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.
Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.
Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.
Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Hapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.
Wapo wengi sana huku jf wakiona kazi zao inamwagiwa mchanga ni lazima waje kulainisha mambo, hiyo comment ya tapeli andoza ilimfanya mtoa mada Apigwe 5m em ichekNaona umekuja kuwasafisha ingawa ukweli unabaki palepale kwamba hawa jamaa ni matapeli tu.Ukiona recruiting angency inataka kwanza uwalipe ndo wakutafutie interview ujue hamna kitu hapo.
Mkuu,kutafutiwa kazi pia ni kazi.Kama unaona kwamba huwezi gharama za kutafutiwa kazi tafuta kazi za bure zipo nyingi sana.Utapeli na matapeli wapo tu ni we ujue jinsi ya kujihami.Wewe huna tofauti na huyu 👇
Wapo wengi sana huku jf wakiona kazi zao inamwagiwa mchanga ni lazima waje kulainisha mambo, hiyo comment ya tapeli andoza ilimfanya mtoa mada Apigwe 5m em ichek
Na watetezi wa utapeli mpoMkuu,kutafutiwa kazi pia ni kazi.Kama unaona kwamba huwezi gharama za kutafutiwa kazi tafuta kazi za bure zipo nyingi sana.Utapeli na matapeli wapo tu ni we ujue jinsi ya kujihami.
😂😂😂😂Na watetezi wa utapeli mpo
JOB JUNCTION ni MATAPELI.Mkuu,kutafutiwa kazi pia ni kazi.Kama unaona kwamba huwezi gharama za kutafutiwa kazi tafuta kazi za bure zipo nyingi sana.Utapeli na matapeli wapo tu ni we ujue jinsi ya kujihami.
kuwa mkweli hapaHawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.
Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.
Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.
Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.
Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.
Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.
Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Kwanza ningependa utambue sikulipia ili nipewe kazi bali nipewe skills za interviewees na nipate fursa za interviewees.kuwa mkweli hapa
uli lipia kiasi gani kwa ajili ya hiyo nafasi ambayo ww ulipata kazi
na je katka hizo interview zako 3 zote uli lilipia ama ile fee uliyo lipa mara ya kwanza ndio ilitumika kucover sehem zote izo3 ulizo pita kufanya interview
na mwisho kabisa uli lipa kiasi gani?
Acheni utapeli wenu...Majizi nyieKwanza ningependa utambue sikulipia ili nipewe kazi bali nipewe skills za interviewees na nipate fursa za interviewees.
Siku fanya frequently Registration is only once Registration for all interviewees.
Na nilipo fanikiwa kupata kazi mshahara wangu haukupitia Job Junction bali niliupokea mm mwenyewe ,Kwahiyo Job Junction hawapokei mshahara wangu kama makampuni mengine wanavyo fanya .
Ninaweza kusema Job Junction ni None profit organization maana kwa ukubwa wa huduma wanayoitoa na income wanayopata ni kiasi kidogo sana cha income ukilinganisha na gharama za uendeshaji huduma.
Wengi wanao izungumzia Job Junction hawaijui vyema nahawajawahi kuwa member wao.
Ningependa kuwa shauri usipende kukashifu au kudharau kitu kama hukijui vyema.
Interview from Job Junction Tanzania,Na sio Interview moja tu nilipewa interviewees kadhaa then nikafanya vizuriWewe umepata wapi hiyo kazi na "Interviewees" yako
Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi.?Kwanza ningependa utambue sikulipia ili nipewe kazi bali nipewe skills za interviewees na nipate fursa za interviewees.
Siku fanya frequently Registration is only once Registration for all interviewees.
Na nilipo fanikiwa kupata kazi mshahara wangu haukupitia Job Junction bali niliupokea mm mwenyewe ,Kwahiyo Job Junction hawapokei mshahara wangu kama makampuni mengine wanavyo fanya .
Ninaweza kusema Job Junction ni None profit organization maana kwa ukubwa wa huduma wanayoitoa na income wanayopata ni kiasi kidogo sana cha income ukilinganisha na gharama za uendeshaji huduma.
Wengi wanao izungumzia Job Junction hawaijui vyema nahawajawahi kuwa member wao.
Ningependa kuwa shauri usipende kukashifu au kudharau kitu kama hukijui vyema.
Sawa, afisa masokoHawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.