Job Junction Tz

Job Junction Tz

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Habari zenu wadau

Kuna mtu yoyote ambae ameshawahi kupata kazi kupitia hawa jamaa wanaojiita "Job Junction Tz ?

Kama yupo naomba anipe uzoefu wake na alipataje pataje kazi kupitia kwa hawa jamaa......na je ni wakweli au matapeli tu

Asante
 
Matapeli tu wale hakuna kitu, ili ujue niatapeli

1. Wanatoa tangazo ambalo hali-specify qualifications, yaan mtu yeyote anaweza omba, mfano Position : Supervisor
Education: Diploma or degree (Hawasemi degree au diploma gani).

2. Ukituma CV wanakutumia ujumbe uwapigie.

3. Ukipiga wanakuelekeza upeleke copy ya CV ofisin kwao makumbusho ( wakati ulisha watumia kwenye email).

4. Ukipeleka mnapigishwa blaa blaa nyingi, alafu wanakwambia kujaza fomu ni elf 50.( Ukishajaza fomu ndo wanaaza kusambaza CV yako makampun mbalimbali kutafuta nafasi, kumbe hata hiyo nafas ya Supervisor haikwepo walitunga tu.

5. Kesho yake wanakupigia kwamba CV yako imepita hivyo ukajaze fomu (uwapelekee hiyo elf 50).

6. Ukishatoa hiyo hela ukae nyumban waanze kukusambazia CV yako (Umepigwa tayar).
 
Matapeli tu wale hakuna kitu, ili ujue niatapeli
1. Wanatoa tangazo ambalo halispecify qualifications, yaan mtu yeyote anaweza omba, mfano Position : Supervisor

6.Ukishatoa hiyo hela ukae nyumban waanze kukusambazia CV yako (Umepigwa tayar).

.
Shukrani ndugu kwa kunifumbua macho
 
Matapeli tu wale hakuna kitu, ili ujue niatapeli
1. Wanatoa tangazo ambalo halispecify qualifications, yaan mtu yeyote anaweza omba, mfano Position : Supervisor
Education: Diploma or degree (Hawasemi degree au diploma gani).

2. Ukituma CV wanakutumia ujumbe uwapigie.

3. Ukipiga wanakuelekeza upeleke copy ya CV ofisin kwao makumbusho ( wakati ulisha watumia kwenye email).
4. Ukipeleka mnapigishwa blaa blaa nyingi, alafu wanakwambia kujaza fomu ni elf 50.( Ukishajaza fomu ndo wanaaza kusambaza CV yako makampun mbalimbali kutafuta nafasi, kumbe hata hiyo nafas ya Supervisor haikwepo walitunga tu.

5. Kesho yake wanakupigia kwamba CV yako imepita hivyo ukajaze fomu (uwapelekee hiyo elf 50).
6. Ukishatoa hiyo hela ukae nyumban waanze kukusambazia CV yako (Umepigwa tayar).
Kumbe ni matapeli Mkuu?

O.M.G wamempigia ndugu yangu mmoja kaambiwa aende kesho kwa ajili ya kufanya registration ila kaambiwa aende na shilingi elfu 30 Tsh basi ngoja nimwambie aachane nao japo sijui kama atanielewa maana anapambana sana na kutafuta ajira.
 
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
 
Naona umekuja kuwasafisha ingawa ukweli unabaki palepale kwamba hawa jamaa ni matapeli tu.Ukiona recruiting angency inataka kwanza uwalipe ndo wakutafutie interview ujue hamna kitu hapo.
 
Wewe umepata wapi hiyo kazi na "Interviewees" yako
 
Wewe huna tofauti na huyu 👇
Hapo kuna utapeli gani kwani?Wao kama wana pesa na wanataka kazi basi watoe Pesa wapewe kazi.Kama hawana Pesa wakatafute kazi za bure ziko nyingi sana.

Naona umekuja kuwasafisha ingawa ukweli unabaki palepale kwamba hawa jamaa ni matapeli tu.Ukiona recruiting angency inataka kwanza uwalipe ndo wakutafutie interview ujue hamna kitu hapo.
Wapo wengi sana huku jf wakiona kazi zao inamwagiwa mchanga ni lazima waje kulainisha mambo, hiyo comment ya tapeli andoza ilimfanya mtoa mada Apigwe 5m em ichek
 
Wewe huna tofauti na huyu 👇

Wapo wengi sana huku jf wakiona kazi zao inamwagiwa mchanga ni lazima waje kulainisha mambo, hiyo comment ya tapeli andoza ilimfanya mtoa mada Apigwe 5m em ichek
Mkuu,kutafutiwa kazi pia ni kazi.Kama unaona kwamba huwezi gharama za kutafutiwa kazi tafuta kazi za bure zipo nyingi sana.Utapeli na matapeli wapo tu ni we ujue jinsi ya kujihami.
 
JOB JUNCTION ni MATAPELI.
Mimi na jamaangu tuliona tangazo lao wanataka Supervisor ( jamaangu kasoma education Mimi nimesoma Engineering), ilibidi wote tutume bila kujali elimu zetu maana walitaka mtu mwenye degree au diploma (Bila kuspecify degree au diploma ya nn).
Ajabu wote tukatumiwa sms tuwapigie, tukapiga, wakasema kesho tupeleke cv ofisin kwao.
Tulipoenda tunakuta tupo zaid ya 50 tukaanza kuingia kwa magroup maana kaofisi ni jadogo ( nikagundua yeyote aliyeomba ile kazi aliitwa maana tulikutana watu tumesoma koz tofauti tofauti).

Wakasema kujaza fomu ni elf 50 kama skosei, ila ukishajaza ndo wataanza kusambaza cv yako kwenye kampun mbalimbali ili uitwe kwenye interview (ina naana ile post ya Supervisor ilikuwa chambo ili wapate watu.)

Basi kesho yake wote tukapigiwa simu kuwa tunequalify kwenda kujaza fomu, nikajiuliza inakuwaje Huyu kasoma education Mimi engineering alafu wote tuqualify kufanya Kaz moja, tukampigia jamaa mmoja tulikutana nae kule (yeye kasoma pharmacy), nae akasema kapigiwa akajaze fomu, tukaconclude hawa ni MATAPELI.

Kama ni kweli wanawatafutia watu ajira, kwanini wasisubiri nikishapata ndo wanikate asilimia kadhaa au hata mshahara mzima kucover cost zao?.
Kwann watake niwalipe kabla hawajafanya kazi?, KIJANA SHTUKA MATAPELI HAO, Usitoe pesa kabla hujapata kazi.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Recruitment Company [Job Junction] wanapatikana Makumbusho ni matapeli, kuweni makini nao
 
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
kuwa mkweli hapa
uli lipia kiasi gani kwa ajili ya hiyo nafasi ambayo ww ulipata kazi
na je katka hizo interview zako 3 zote uli lilipia ama ile fee uliyo lipa mara ya kwanza ndio ilitumika kucover sehem zote izo3 ulizo pita kufanya interview
na mwisho kabisa uli lipa kiasi gani?
 
Kwanza ningependa utambue sikulipia ili nipewe kazi bali nipewe skills za interviewees na nipate fursa za interviewees.

Siku fanya frequently Registration is only once Registration for all interviewees.

Na nilipo fanikiwa kupata kazi mshahara wangu haukupitia Job Junction bali niliupokea mm mwenyewe ,Kwahiyo Job Junction hawapokei mshahara wangu kama makampuni mengine wanavyo fanya .

Ninaweza kusema Job Junction ni None profit organization maana kwa ukubwa wa huduma wanayoitoa na income wanayopata ni kiasi kidogo sana cha income ukilinganisha na gharama za uendeshaji huduma.

Wengi wanao izungumzia Job Junction hawaijui vyema nahawajawahi kuwa member wao.

Ningependa kuwa shauri usipende kukashifu au kudharau kitu kama hukijui vyema.
 
Acheni utapeli wenu...Majizi nyie

Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi.?
 
Hawa Jamaa Wako vizuri sana ,Mimi nimepata kazi kupitia wao.

Kwanza wako wazi na wakweli unapo fika ofisini kwao.

Ukifika wanakwambia wazi kuwa huduma wanayo toa ni kukutafutia interviewees na sio kukupa moja kwa moja Ajira.
Ina maana lazima uwe vizuri kwenye kufanya interviws ,Mm nilihudhuria interviewees kama tatu ndio nikaja pata kazi.

Tatizo graduates wengi wanachagua kazi na hawana uwezo wa kufanya kazi yani kuwa productive na Hawako vizuri kwenye interviewees.

Wengi wanataka kupata ajira moja kwa moja ambalo ni jambo gumu,Maana hizo HR CONSULTANCY hazikupi ajira bali zinakukutanisha na mwajiri then mwajiri mnafanya nae negotiations yani makubaliano.

Watu wengi wanao laumu ni wale wanoshindwa kwa interviewees na wanaochagua kazi.

Ila Job Junction Tanzania wanafanya kazi nzuri sana na wamesaidia watu wengi saana
Sawa, afisa masoko
 
Back
Top Bottom