MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Huko upinzani labda aende Chauma kwa maana hao wiki ijayo wanakwenda kusaini kanuni za uchaguzi sio chademaAkagombee upinzani CCM watamchinjia baharini

safari hii atamuua mtu watia nia wengine wakae chonjo, kipindi kile walinusurikaAliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema hatogombea tena ubunge. Zaidi soma Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!
Kauli hiyo imekuja kama mshangao kwa wengi, hasa baada ya kampeni za awali kufanywa na mke wake, ambaye alikuwa anatajwa kuwa ndiye anayetarajiwa kurithi kijiti hicho cha kisiasa kupitia baraka za mumewe.
Ndugai, ambaye ameiongoza Kongwa tangu mwaka 2000, amenukuliwa katika kikao cha ndani cha kimkakati akisema, "Wananchi wamenitaka, siwezi kuwakataa." Kauli hiyo imechukuliwa na baadhi ya wachambuzi kama ishara ya kuanza rasmi kurejea kwake kwenye ulingo wa kugombea, huku wengine wakiona ni mwitikio wa hali ya kisiasa ndani ya chama au maoni ya wapiga kura.
Mabadiliko haya ya msimamo yanaibua maswali mengi kuhusu hatma ya mipango ya awali ya kumpitisha mkewe kuwa mrithi wake kisiasa, pamoja na athari zake kwa wanachama wengine wa CCM waliokuwa wameanza kuonyesha nia ya kuwania nafasi hiyo.
Endelea kufuatilia kwa undani, kwani kampeni za Kongwa 2025 zinaanza kuchukua sura mpya—na ya kusisimua zaidi.
Mzee wa kodi naendele kukupa code za watia nia wote na majimbo wanayotaka kugombea
Pia soma
- Tetesi: - Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma
na ww kijana kajiajiri kama yeye yaan kagombee si demokrasia huruNi wazuri wa kuhimiza vijana wajiajiri, lakini wao wenyewe hawana ujanja wa kujiajiri. Atakula nini akiacha siasa?
na ww kagombee mbona tunatoa argument ya kijinga hivyoVijana mjiajiri
Hahahahaahah 😃 😃 😃Wapinzani wake waanze kununua helmet kabisa, kujiweka tayari na bakora za kichwa. Maana jamaa ukimzingua anakupiga bakora.
View attachment 3296968
katie nia kongwa kama hujala runguNdugai alikuwa dikteta Bungeni kama alivyo Lissu hapo chadema
Wacha agombee ,aliwepesa za pension na wajumbe .Baada ya uchaguzi ni majuto🤣🤣🤣🤣🤣Umaskini mbaya sana hasa wa akili
Kwangu hiyo ni hiari, lakini kwake ni lazima. Vinginevyo, atakufa njaa!na ww kijana kajiajiri kama yeye yaan kagombee si demokrasia huru
*Dr Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea uraisNakuhakikishia uchaguzi ukiwa huru na wa haki mgombea kushinda miaka 5x2 ni shida sana. Hawa wanafanya hivyo kwa sababu wanabebwa na siyo wanapendwa.
Samia akisikia jina "Ndugai"..anachanganyikiwa...ukiongezea na No reforms No election ndo balaa..Ndugai kafanya makusudi..maana huwezi jua atakachokisema wakati wa kampeni..hanaga break ya kuongea....Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema hatogombea tena ubunge. Zaidi soma Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!
Kauli hiyo imekuja kama mshangao kwa wengi, hasa baada ya kampeni za awali kufanywa na mke wake, ambaye alikuwa anatajwa kuwa ndiye anayetarajiwa kurithi kijiti hicho cha kisiasa kupitia baraka za mumewe.
Ndugai, ambaye ameiongoza Kongwa tangu mwaka 2000, amenukuliwa katika kikao cha ndani cha kimkakati akisema, "Wananchi wamenitaka, siwezi kuwakataa." Kauli hiyo imechukuliwa na baadhi ya wachambuzi kama ishara ya kuanza rasmi kurejea kwake kwenye ulingo wa kugombea, huku wengine wakiona ni mwitikio wa hali ya kisiasa ndani ya chama au maoni ya wapiga kura.
Mabadiliko haya ya msimamo yanaibua maswali mengi kuhusu hatma ya mipango ya awali ya kumpitisha mkewe kuwa mrithi wake kisiasa, pamoja na athari zake kwa wanachama wengine wa CCM waliokuwa wameanza kuonyesha nia ya kuwania nafasi hiyo.
Endelea kufuatilia kwa undani, kwani kampeni za Kongwa 2025 zinaanza kuchukua sura mpya—na ya kusisimua zaidi.
Mzee wa kodi naendele kukupa code za watia nia wote na majimbo wanayotaka kugombea
Pia soma
- Tetesi: - Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma
Wameyamaliza,kuna upepo mchafu unamkabili Hangaya ndani kwa ndani ameamua kufanya reconciliation na mahasimu wake ili kupunguza fukuto.Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema hatogombea tena ubunge. Zaidi soma Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!
Kauli hiyo imekuja kama mshangao kwa wengi, hasa baada ya kampeni za awali kufanywa na mke wake, ambaye alikuwa anatajwa kuwa ndiye anayetarajiwa kurithi kijiti hicho cha kisiasa kupitia baraka za mumewe.
Ndugai, ambaye ameiongoza Kongwa tangu mwaka 2000, amenukuliwa katika kikao cha ndani cha kimkakati akisema, "Wananchi wamenitaka, siwezi kuwakataa." Kauli hiyo imechukuliwa na baadhi ya wachambuzi kama ishara ya kuanza rasmi kurejea kwake kwenye ulingo wa kugombea, huku wengine wakiona ni mwitikio wa hali ya kisiasa ndani ya chama au maoni ya wapiga kura.
Mabadiliko haya ya msimamo yanaibua maswali mengi kuhusu hatma ya mipango ya awali ya kumpitisha mkewe kuwa mrithi wake kisiasa, pamoja na athari zake kwa wanachama wengine wa CCM waliokuwa wameanza kuonyesha nia ya kuwania nafasi hiyo.
Endelea kufuatilia kwa undani, kwani kampeni za Kongwa 2025 zinaanza kuchukua sura mpya—na ya kusisimua zaidi.
Mzee wa kodi naendele kukupa code za watia nia wote na majimbo wanayotaka kugombea
Pia soma
- Tetesi: - Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma
Ajaribu aone kama hajavunjwa fuvu la kichwa,Ndugai hacheki na kima.Sasa eng. Hersi itakuaje ....?
Alijuwa bekitatu wa dhalim MagufuliNi mpuuzi sana! Alikuwa kibaraka wa jiwe!
Watia nia jimboni kwake mzigo huu hapa maana jamaa hapigi sehemu nyingine ni kichwani tusafari hii atamuua mtu watia nia wengine wakae chonjo, kipindi kile walinusurika
vipi hawajamchangie pesa huko UDOM?Aliyekuwa Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa kwa zaidi ya miongo miwili, Job Ndugai, ameibua mjadala mpya katika siasa za jimbo hilo baada ya kutamka kuwa atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025—miezi kadhaa baada ya kutangaza kuwa hatagombei tena.
Mei 2022, Ndugai alisema hatogombea tena ubunge. Zaidi soma Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!
Kauli hiyo imekuja kama mshangao kwa wengi, hasa baada ya kampeni za awali kufanywa na mke wake, ambaye alikuwa anatajwa kuwa ndiye anayetarajiwa kurithi kijiti hicho cha kisiasa kupitia baraka za mumewe.
Ndugai, ambaye ameiongoza Kongwa tangu mwaka 2000, amenukuliwa katika kikao cha ndani cha kimkakati akisema, "Wananchi wamenitaka, siwezi kuwakataa." Kauli hiyo imechukuliwa na baadhi ya wachambuzi kama ishara ya kuanza rasmi kurejea kwake kwenye ulingo wa kugombea, huku wengine wakiona ni mwitikio wa hali ya kisiasa ndani ya chama au maoni ya wapiga kura.
Mabadiliko haya ya msimamo yanaibua maswali mengi kuhusu hatma ya mipango ya awali ya kumpitisha mkewe kuwa mrithi wake kisiasa, pamoja na athari zake kwa wanachama wengine wa CCM waliokuwa wameanza kuonyesha nia ya kuwania nafasi hiyo.
Endelea kufuatilia kwa undani, kwani kampeni za Kongwa 2025 zinaanza kuchukua sura mpya—na ya kusisimua zaidi.
Mzee wa kodi naendele kukupa code za watia nia wote na majimbo wanayotaka kugombea
Pia soma
- Tetesi: - Job Ndugai anajipanga kuliachia Jimbo la Kongwa kwa mkewe Bi. Fatma
Kwanza watu wa kumchangua Ndugai maanake si ni wajinga zaidi yakeHili ni kweli wamebebwa na hawabebeki,na wanabweteka na vyeo.Muda mwingi wa uspika Ndugai aliutumia kuwaudhi wapinzani na kupambana na Mbowe wakati hakuwa hata Bungeni.Mtu anapambana na Mbowe wakati kwao kuna maji na umeme tangu miaka ya 70