PreGE2025 Job Ndugai abadili msimamo, sasa autaka tena ubunge wa Kongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
safari hii atamuua mtu watia nia wengine wakae chonjo, kipindi kile walinusurika
 
Samia akisikia jina "Ndugai"..anachanganyikiwa...ukiongezea na No reforms No election ndo balaa..Ndugai kafanya makusudi..maana huwezi jua atakachokisema wakati wa kampeni..hanaga break ya kuongea....
 
Wameyamaliza,kuna upepo mchafu unamkabili Hangaya ndani kwa ndani ameamua kufanya reconciliation na mahasimu wake ili kupunguza fukuto.
 
safari hii atamuua mtu watia nia wengine wakae chonjo, kipindi kile walinusurika
Watia nia jimboni kwake mzigo huu hapa maana jamaa hapigi sehemu nyingine ni kichwani tu
 

Attachments

  • 20250312_092555.jpg
    129.6 KB · Views: 20
  • 20250312_092525.jpg
    139.4 KB · Views: 18
  • 20250312_092407.jpg
    187.8 KB · Views: 21
vipi hawajamchangie pesa huko UDOM?
 
Hili ni kweli wamebebwa na hawabebeki,na wanabweteka na vyeo.Muda mwingi wa uspika Ndugai aliutumia kuwaudhi wapinzani na kupambana na Mbowe wakati hakuwa hata Bungeni.Mtu anapambana na Mbowe wakati kwao kuna maji na umeme tangu miaka ya 70
Kwanza watu wa kumchangua Ndugai maanake si ni wajinga zaidi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…