Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Aise, nilikua naisikiliza ile hotuba tena, jamaa aliongea kwa hisia sana.Hata mamlaka zimezungumza kweli
Sasa shida ni perception tu ya Nduggayi
Ila ile ni ajali ya kisiasa kwasababu kaulimbiu ni ukinizingua nakuzingua
Hivi wewe kuisikiliza ile hotuba yake na ile siku ya kuomba msamaha unadhani vinaendana kweli. Mimi naona kama aliamua kuigiza tu.Hata mamlaka zimezungumza kweli
Sasa shida ni perception tu ya Nduggayi
Ila ile ni ajali ya kisiasa kwasababu kaulimbiu ni ukinizingua nakuzingua
Nami nimeisikiliza sasa...Aise, nilikua naisikiliza ile hotuba tena, jamaa aliongea kwa hisia sana.
Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikua amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikua ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Sasa,kama hi yo ndivyo,ile sauti ya upole,wakati akikanusha yale,aliitoa wapi?Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikua amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikua ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Labda alishapata fununu!kwamba liwalo na liwe.
Achana Mambo ya msamaha alichoongea Ni kweli au sio kweli?Kaomba msamaha katoswa. Ushujaa uko wapi? Kwanini aliomba msamaha?
Niliwahi kuambiwa nchini Ufaransa hakuna kuombana msamaha! Labda walistukia madhara haya ....ha ha ha haaa!Nami nimeisikiliza sasa...
Kaongea kwa hisia na akimaanisha kabisa... alipokosea ninkuomba msamaha ingawa majua ni 'kaomba' kinafiki...
Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko.
Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikua amejiandaa kwamba liwalo na liwe.
Alikua ameamua kutoa yake ya moyoni.
Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Amejenga uwanja wa ndege kama ule wa chato? Au kahamishia burigi znz?Mama anaiuza Tanganyika kwa faida ya Zanzibar
Mama anaiuza Tanganyika kwa faida ya Zanzibar