Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
Hakuna cha urembo zaidi ya Tulia
 
Uzuri kaweka silaha chini maana angekaza mikono angeumia yeye
Nilimsikia Ayubu akiomba toba kwa Mtemi Hangaya...huku akinukuu Biblia ambayo kwanza haijui na pili haiamini! Ndo maana aliropoka kuwa Yesu alikuwa na mke.....Shame on Job Ndugai!!
 
Mnaojipendekeza chukua form , Ndugai bado spika ,mtajiju
 
View attachment 2078302
Baada ya kutoka Zanzibar kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ras Samia amekutana na Spika aliyejiuzulu, Jacob Ndugai Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo mchana
Picha inaongea yote . Ndugai sijui anataka nini tena kama ni fedha anazo nyingi tu na zingine zinakuja vyeo havina dhamana bora akubali kwamba yametimia.
 
Picha inaongea yote hakuna ukaribu tena
 
Wazee wa kuzoom angalieni mgalilaya hajafunga kamba za viatu ni Kama alivua viatu akiomba msamaha. Sheeenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…