Bunge lilishapitisha Sheria ya kutomshitaki Spika kwa alichokifanya akiwa madarakani.
Amefanya ujinga kadhaa kabla ya kuwa spika likiwemo la physical attacks(alivyomtwa mtwanga mgombea mwenzie magongo ya mbavu) hivyo wakiamua kumuwinda hawawezi kumkosa.
 
Hii siyo stori tena. Tunataka kusikia covid wameondolewa bungeni.

Nyie mnaompigia chepuo Tulia mnadhani ana ubavu wa kuwaondoa covid19 toka bungeni? You need a very strong speaker to accomplish that task.
 
Ameshapoteza uspika halafu bado aendelee kuomba msamaha?!
Kwani kupoteza Uspika ndiyo inamaanisha na maisha yake ndani ya CCM yameisha? Bado ana rooms nyingi sana ndani ya chama, na anaweza kukitumikia kwa namna nyingine
 
Amepasua MBARIKA,ile mipango ya kukaba kwenye PENALT na mengineyo ya ajabu ajabu ya wale wachapaji viboko waliopelekwa kwenye lile KASRI

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bad luck ni kwamba wanasiasa wetu wengi hawana uwezo wa kukisimamia kile wanachokiamini ikiwa kinaweza kugusa maslahi yao,
 
Siyo wameenda kujadili mafao yake ili angalau aipunguzie serikali mzigo. Yaani kiinua mgongo, winding up, gari jipya, lita 70 za mafuta kila wiki, dereva, n.k lazima apunguze vipengele vingine siyo kwa mkwanja huu.
Wewe na Mimi tunaangalia mkwanja lakini yeye kinachomuumiza ni ule wadhifa alokuwanao kumponyoka, binadamu tupo hivyo !
 
Hasa kwenye kuikataa chanjo alikuwa sahihi sana. Naweza kukutumia link uangalie uone ukweli
Naomba mkuu niangalie.
Licha ya mapungufu yake mengine ila Jamaa aliona mbali kwenye baadhi ya mambo.
 
View attachment 2078302
Baada ya kutoka Zanzibar kuhudhuria sherehe ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ras Samia amekutana na Spika aliyejiuzulu, Jacob Ndugai Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo mchana
Ndugai ana wasi wasi sana. Nafikiri ameomba kumtembelea kumhakikishia support yake, na pia kusisitiza kuwa hakuwa na nia mbaya.
 
Kwa wale waliowahi kuwa karibu na Mama Samia mtakubaliana na mimi, huyu Mama ni Mrembo kwelikweli.

Hapo hajapiga make up ila anaonekana kama binti wa miaka 28, niwaase mabinti waache kutumika kingono maana zinawachosha na kuwafanya wapoteze nuru.
hata mi nilitaka kusema hivo, dah! asee mama ni mrembo, vijana ka sisi usipo muangalia kwa makini ujue ni mzee, unaweza pita naye.

Jakaya ataweza kumvumilia kweli huyu mrembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…