Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana.

Anatumia mwanya wa nguvu ya kisiasa aliyonayo kuburuta watu ili afanikishe mambo yake kwa nguvu.

Mikopo inayofanyika ina siri kubwa na hatujui ipo vipi kwa manufaa ya taifa letu kwa ujumla.

Huko Ngorongoro ndio kuna utata mkubwa. Tunaambiwa na wajuaji kuwa waarabu wameshanunua wanyama na maeneo kwa manufaa yao na wanasiasa waliopo madarakani.

Mnapigwa mnada huku mnaona kwa macho yenu.
 
Kiongozi wa kisiasa akiona nafasi yake ipo hatarini ndio akili inafanya kazi,

kabla ya hapo huyo jobu hakuwa anaongea hivyo vitu zaidi ya kuweka akili yote kuwakomoa wapinzani, nafasi ilipomponyoka ndio akili zikaanza kumrudi.
Ni kweli Mkuu..
 
Mwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana...
Kwa kipato chochote ulichonacho hakikisha hauvumilii watu wanafiki maana mtu mnafiki ukweli huwa anaujua kabisa ila sasa mpaka pawe na masilahi binafsi ndio unautoa
 
Kama hilo jambo lipo hivyo inaweza ikawa ni shida na bomu ambalo litalipuka kabla ya 2025 ,

Kama kweli pameuzwa kimyah kimyah warudshe tuu pesa za watu
 
Yaani afrika Bora turudi zile tawala za kimakabila kabla hawajaja wakoloni yaani Kila kabila iwe Ni nchi
 
Back
Top Bottom