Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hii ni aibu kubwa kwa taifa letu
Unaweza ukawa uko sahihi kwenye bandiko lako namba moja, lakini bandiko lote limegeuka ni uchuro tu baada ya kumtaja Ndugai. Huyo Ndugai ni baadhi ya watu waliosimamia siasa za kihayawani sana hapa nchini kipindi cha awamu ya dhalimu, hivyo chochote asemacho sasa tunampuuza bila kujali ukweli wake.