Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unashangaa nini?Aiseeee !!!
Ili iweje? Tukumbuke shuka?Subirini kukuche
Ni kweli Mkuu..Kiongozi wa kisiasa akiona nafasi yake ipo hatarini ndio akili inafanya kazi,
kabla ya hapo huyo jobu hakuwa anaongea hivyo vitu zaidi ya kuweka akili yote kuwakomoa wapinzani, nafasi ilipomponyoka ndio akili zikaanza kumrudi.
acha ujinga ww, mambo yanayoongelewa ni mazito ww unabwabwaja na mtu, hovyo kabisa ww!Kiongozi wa kisiasa akiona nafasi yake ipo hatarini ndio akili inafanya kazi,
kabla ya hapo huyo jobu hakuwa anaongea hivyo vitu zaidi ya kuweka akili yote kuwakomoa wapinzani, nafasi ilipomponyoka ndio akili zikaanza kumrudi.
Lala acha ubishi kazi kuwanga tu hata mkijadili usiku wa manane hamuwezi badili kitu!Ili iweje? Tukumbuke shuka?
Iweje Umoja party iwe na nguvu hivi ?Unashangaa nini?
Lakini ukweli lazima uwekwe waziLala acha ubishi kazi kuwanga tu hata mkijadili usiku wa manane hamuwezi badili kitu!
Kwa kipato chochote ulichonacho hakikisha hauvumilii watu wanafiki maana mtu mnafiki ukweli huwa anaujua kabisa ila sasa mpaka pawe na masilahi binafsi ndio unautoaMwanasiasa anayetanguliza tumbo lake kuliko maslahi ya raia wanyonge ambao hawajui juu wa mustakabali wa kesho yao ni mwanasiasa mbaya sana...
Na huu ndio ukweliKwa kipato chochote ulichonacho hakikisha hauvumilii watu wanafiki maana mtu mnafiki ukweli huwa anaujua kabisa ila sasa mpaka pawe na masilahi binafsi ndio unautoa
Hii ni aibu kubwa kwa taifa letuNgorongoro imeshauzwa kwa muarabu kilichobakia ni mauaji ya raia ili akabidhiwe eneo.