Job Ndugai aliposema ipo siku mtapigwa mnada mlijifanya hamuelewi na mkafurahi alipofanyiwa fitina. Sasa mnapigwa mnada huku mnaona

Aliwashaghulikia au alitumika na dhalimu kuwakomoa cdm? Mtu mshenzi kama huyo unaungaje mkono ukhanithi wake?
Tatizo lako ndio hilo chuki za kishamba. Kama ubunge ukishapoteza tu.
 
Kwa hiyo huyo Mwamba aliye tabiri tutapigwa mnada, haongozwagi na tumbo?! Kuna akili kidogo kwenye kile kichwa?!
 
Tatizo lako ndio hilo chuki za kishamba. Kama ubunge ukishapoteza tu.
Sijawahi kuwapenda majizi ya kura. Kwa bahati sio mwanachama wa chama chochote cha siasa, bali shabiki wa cdm. Sasa sijui ubunge gani niliopoteza. Ni hivi, jizi lolote la kura ni la kupingwa kwa chochote.
 
Kama tumeshindwa kuongea lugha Moja kwenye mambo yenye maslahi Kwa taifa kama katiba mpya🤔Je lini tutaongea lugha Moja kama taifa? Au kwenye kuuzwa Kwa taifa🤔
Mwisho wa siku - Tutaelewana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…