Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Taarifa gani wewe unahitaji zaidi labda? Inamaana wewe hujui lisu kashambuliwa kwa risasi? Tena akiwa anatokea bungeni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika ni mtumwa, yeye na wasiojulikana hawana tofauti.
Go Go TL.
 
speaker anabwabwaja sana, ni kama anajaribu kumtisha....na wasichojua ni kwamba wanavyozidi kumtisha TL na yeye ndio anavyozidi kupata nguvu ya kuendelea.

go go TL
Bwege sana huyo......mmeshindwa kummaliza kwa risasi 32!Mkamnyima matibabu mkadhani atakufa.... sasa mnamnyima mshahara....mnapoteza muda. Tutamchangia mshahara na ataendelea kuwatesa mpaka mnyooke.
 
Ndugai alipokuwa huko India hakuanza kuzurula kwenye vyombo vya habari. Ni mazingira mawili tofauti unayoongelea.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Bana matako unatoa harufu mbaya... malimbukeni wenye shahada nyie
 
Kiukweli nimeiona ile clip ya mbunge joseph kasheku alimaarufu Msukuma na speeker Job ndugai nikatafakali weee na nikayakumbuka ya majadiliano ya VOA jana ha ha haaa nikajikuta bakumbuka hoja ya waziri wetu wa mambo ya ndani kuwa kuna watu wanakimbia kesi ghafla nikapitiwa na kausingizi si nikaota mbowe na matiko wameachiwa duuu nikashituka maraa kufungua redio labda kupoteza mawazo kidogo duuu nikasikia leo tena VOA kutakuwa hakutoshi tena leo kutakuwa ni kiswahili kwakwenda mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi wana mihemko sana kila kona.
 
Kwa sasa inaonekana linapokuja suala la Lisu hakuna anayetumia akili. Kila mtu anakurupuka ili kumfurahisha bwana mkubwa
 
Wanapata wapi uwezo huo ,Ndugai na Jiwe pesa hizo sio za kwao ni za watanzania .
 
Mkuu hauna jinsi unaweza kuwashauri? Inaonekana wamefikia mwisho wao wa kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…