Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

SPIKA NDUGAI NA PAULO BILA SHAKA.
 
Nasikia aliandaliwa risala, sijui alipelekewa? Au ilihifadhiwa kwenye Hansard.
Akishamaliza kipimo chake cha kumbukumbu na uvumilivu wa kusafiri na kukaa bila ya kutegemea msaada wa vifaa, ataruhusiwa kurudi.
BUNGENI KUNA KAZI INAENDELEA?UZWAZWA TU
 
Kuna mbunge aliitwa Ndembela Ngunangwa aliwahi lipwa mamilioni mengi sana kwa amri ya mahakama miaka mingi baada ya ubunge wake kukoma. Kulikuwa na maamuzi ya hovyo hovyo hivi kama haya.

Atakachofanya Ndugai ni kutengeneza madeni tu kwa serikali zijazo kama ambavyo serikali ya awamu ya kwanza imezipa shida ya medeni serikali zilizofuata, kwa kupora/ kutaiifisha hovyo mali za matajiri
 
hiki ki spika na mashavu yake yale kitajuta kumuadhibu mtu asiye na hatia cheo dhamana
 
R.I.P Dad; huyo mzee hakuwa mzembe kama tobo kisu ambaye kaamua kufanya TV uwanja wa kuonesha uzembe wake.

Watu wana matatizo zaidi yake na wametulia kupambana nayo.

Sasa huyu jamaa anataka matatizo yake yawe ya kila mtu, jambo ambalo halitawezekana na sio sawa kabisa.

Adeal na matatizo yake aache kusumbua watu.

Ukimwangalia vyema anahitaji msaada wa kisaikolokijia zaidi sana ya kuwa Rais.
 
Mi nitatoa 100,000/= kila mwezi!
 
Boss wee ni Fala [emoji16][emoji85]

Driving using BMW X6
 
mama faiza foxy.
njoo uone jibu la swali lako.
ndugai anataka asimamishe mshahara wa lissu.
kwani lissu Aliaga bungeni wakati anaondoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameichafua nchi ipi?
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
mi nadhani hata lizochukua adaiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…