Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Yohana-mbatizaji wewe ni mtu mwenye akili nyingi ila sometimes unajifanya MWEHU ili upate buku 7 siku iendee.
Leo umesema jambo la msingi sana waambie ndugu zako wa kijani wajitafakari kabla ya kuzuia stahiki za lissu
 
Ndugai alipokuwa huko India hakuanza kuzurula kwenye vyombo vya habari. Ni mazingira mawili tofauti unayoongelea.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Acha huo ujinga na ushabiki wa CCM usio na tija...!.
Mazingira ni yaleyale huyu ni Spika na huyu ni Chief whip na wote ni Wabunge waliochaguliwa na Wananchi.
Wote wako kimatibabu nje ya nchi TAFAUTI ni kwamba Ndugai alikwenda kwa UGONJWA WA MUNGU lakini TUNDU LISSU alikwenda kwa SHAMBULIO LA RISASI KATIKA JARIBIO LA KUTOA UHAI WAKE..!!!.

Je,unataka kutuambia kuwa Ndugai siku zote alikuwa amelala kitandani from day 1 mpaka siku ya kuondoka hapo Apollo? Nina hakika baada ya kupata nafuu lazima MADAKTARI wake walimruhusu kutoka na kufanya mazoezi ikiwa ni pamoja na kuzurura mitaani na hata kama angeliamua kutembelea Ubalozi wa India na kutafuta media ili kuizungumzia Tanzania ilikuwa ruksa....!!!,
 
Akili unazo sema wakati mwingine unafiki unakusumbua.Penye ukweli tujenge hoja zenye mashiko,hakuna mwenye hati miliki na taifa mwenye mamlaka ya kujeruhi,kutesa wengine kwa sababu ya tofauti za itikadi.Mtu mwenye mtazamo wa namna hii ni mwendawazimu anadeserve kupingwa!!!
Ni maajabu mgonjwa ananfanyia ufedhuri mgonjwa mwenzie,huu ni ukichaaa!!
 
Basi yeye aendelee kuwa maarufu Tu, ila Bunge lijalo ajue hatakuwemo, na uraisi hapati.
 
waliopanga kumpoteza waliamua kupoteza Kila kitu c

hake, kwa hiyo anaishi maisha Mapya ambayo amepewa kwa mapenzi ya Mungu, yeye Ndio atajua ataishi vipi
 
Mkuu wewe ndio unataka kuleta UPUMBAVU na si UJINGA. Tunaongea vitu vinavyoonekana na sio HISIA. Ndugai baada ya kutoka huko India alirudi nyumbani. Hakuna popote tulipoambiwa Ndugai kapona na sasa yuko India anakatiza mitaa kwa ajili ya mazoezi. Hakuna popote Ndugai alianza kuongea na vyombo vya habari kuelezea mattz yake kama sehemu ya mazoezi. Labda uje na ushahid kuwa Ndugai baada ya matibabu alianza kuzurula Ulaya.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Ni kweli jamaa anachukua malipo bila kufanya kazi..

Akiambiwa arudi kazini anadai anaumwa ila yupo busy kufuata Interview za TV miji Mbali Mbali duniani akialikwa Australia ataenda ila kwenda kufanya kazi bungeni hataki.
aje ili akae kizuizini maisha...
 
Iwe na CCTV camera au bila CCTV camera Lissu ni Demone. Kama ni Demone hastahili kuishi tena. Ametu-demonize sisi wote na nchi yetu. Hataki sisi tuwe na maisha bora kwani anawaomba wadau wasitusaidie sisi maana yake sisi tufe na kuwa wategemezi milele kwa vile Magufuli analeta maajabu ambayo hakuyategemea.

Yeye alifikiri wapinzani ndiyo wanauwezo wa kuleta maendeleo peke yao. Lakini Mgufuli wetu amemwonyesha kuwa kuna watu wana akili kuliko yeye mwenye uso wa sokwe.

Lissu hana roho. Inatakiwa achunguzwe na asiwekwe karibu na binadam wenye roho. Ni mnyama mbaya sana sana sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hivi vituko ni aina mbalimbali za vilio na tutasikia tena vilio zaid ya hiv na hatimaye taraaatibu waliomshot TL wanaanza kujulikana
 
Yohana-mbatizaji wewe ni mtu mwenye akili nyingi ila sometimes unajifanya MWEHU ili upate buku 7 siku iendee.
Leo umesema jambo la msingi sana waambie ndugu zako wa kijani wajitafakari kabla ya kuzuia stahiki za lissu
Asshole comment
 
Ni kweli. Ni jambo la hatari. Wakiacha kumlipa haki zake, nani atam finance?? Jambo dogo lakini lisipokuwa handled kwa busara, linaweza kuleta matokeo yasiyotarajiwa! Tuwe makini.

Msizuie watu "kulia" baada ya kuumizwa/kuwaumiza. Kulia ni sehemu muhimu ya kutibu maumivu. Lissu asipoachwa "alie", hizo hasira za kuumizwa zitaishia wapi? Tafakari.

"Maendeleo hayana vyama"
 
BAADHI TU YA WATU AMBAO WALIOMSHUTI TL NI HAWA
 
Mbona Lumumba wajinga mko wengi pelekeni watetezi kwenye Vyombo vya habari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…