kama si kumuogopa kwanini kumuandika kila siku....LISSU LISSUU LISSUUU LISSUUUUUU!!!!!!!!!Fanatic fool wewe walahi
Kuna mtu ana mwogopa kilema?
We veeepe kijana mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uamuzi wa namna hiyo ndiyo unaomuongezea kiki.Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Naomba utujuze na ni kipi kinafaa kufanywa na IGP, RPC MUROTO na walinzi wote wa area I na II kwa kushindwa kuwapata waliompiga risasi?Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ndu-what???Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Nakuuliza alifuata utaratibu kwenye matibabu yake? Mnapenda kuamini watu kirahisi rahisi,mnajidanyanya hao wastaafu uliowataja wapo pamoja nanyi?Mlifuata utaratibu gani kumpiga risasi?. Ubunge kitu gani wakati ilikuwa mumuue? Sisi sio wabunge mbona tunapeta tu. Huyo Lissu ameshapiga sana hizo za ubunge hivyo hana cha kupoteza. Huo mshahara wake mpeni jiwe yeye ndio kafanya kazi serikalini miaka 30 hana ujanja nje ya mshahara wa serikali. Vovyote mfanyavyo Lissu atakuwa ameweka alama kwenye utawala wa sheria na hili suala litapata muafaka tu huko mbeleni. Kwani Lowassa na Sumaye walijua iko siko watakuwa wanawaogopa polisi?
Vp waliompiga risasi nao walifuata taratibu?
Jibu swali kwanza ndio uulize la kwako, kwani lissu ajawafundisha?Vp waliompiga risasi nao walifuata taratibu?
Nimecheka sana aseeehJamaa amepona kabisa, anazuga tu. Angalia sasa anataka kuanza kupigana na Masilingi studio na bado anajidai ni mgonjwa. Akatiwe mshahara mapema iwezekanavyo.
Nanyi hamkufundishwa kulenga shabaha ili muue kabisa na sio kumpa mtu ulemavu tu?Jibu swali kwanza ndio uulize la kwako, kwani lissu ajawafundisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
We unawajua walimpiga risasi?Nanyi hamkufundishwa kulenga shabaha ili muue kabisa na sio kumpa mtu ulemavu tu?
We unawajua waliogoma kumpa stahiki zake za matibabu bwana Lissu?
Hapo kwenye maswali ya Mwanahabari zisizohuru, ongezea:Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari
Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?
-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?
-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?
Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya
=====================
Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.
#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Kumbe alimuokoa mungu basi awashatakie kwa mwenyezi sio analia liaHuo utaratibu ndio ilikuwa kifo chake. Aliyemuokoa ni Mungu sio utaratibu wa binadamu. Hahitaji utaratibu wa watu waliotaka kumuua. Dunia hii ni kubwa anaweza kupata kazi popote dunia hii maana ana uwezo. Wale wenye vyeti fake ndio wanaweza kutii hizo taratibu zenye hila, fullstop.