Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Fanatic fool wewe walahi
Kuna mtu ana mwogopa kilema?
We veeepe kijana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
kama si kumuogopa kwanini kumuandika kila siku....LISSU LISSUU LISSUUU LISSUUUUUU!!!!!!!!!
Tuandike mengine ya lissu yasahaulike..

kumbuka kilema kinampata anaependa na asiependa.....
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Uamuzi wa namna hiyo ndiyo unaomuongezea kiki.
 
Mpaka Muda huu ilitakiwa Katibu Mkuu wa Bunge ajiuzulu Kama aliendelea kumlipa Mtu Mshahara wakati hayupo eneo la Kazi Na Hakuna taarifa yoyote ya kimaandishi ya kutokuwepo kazini Na Sasa hivi anaonekana anazurura Kwenye Channel Za Kimataifa anachafua Nchi
Naomba utujuze na ni kipi kinafaa kufanywa na IGP, RPC MUROTO na walinzi wote wa area I na II kwa kushindwa kuwapata waliompiga risasi?
 
Alifuata utaratibu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mlifuata utaratibu gani kumpiga risasi?. Ubunge kitu gani wakati ilikuwa mumuue? Sisi sio wabunge mbona tunapeta tu. Huyo Lissu ameshapiga sana hizo za ubunge hivyo hana cha kupoteza. Huo mshahara wake mpeni jiwe yeye ndio kafanya kazi serikalini miaka 30 hana ujanja nje ya mshahara wa serikali. Vovyote mfanyavyo Lissu atakuwa ameweka alama kwenye utawala wa sheria na hili suala litapata muafaka tu huko mbeleni. Kwani Lowassa na Sumaye walijua iko siko watakuwa wanawaogopa polisi?
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Ndu-what???
 
Nakuuliza alifuata utaratibu kwenye matibabu yake? Mnapenda kuamini watu kirahisi rahisi,mnajidanyanya hao wastaafu uliowataja wapo pamoja nanyi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa CDM, wajadili na kupiga mahesabu ya Mshahara na Marupu rupu ya Mh.Lissu, ambayo Spika Job Ndugai na wana hira wenzie, wanataka kuuzuia kisha watutangazie sisi wenyewe wa Tanzania tutamchangia Mh.Lissu kwa kufidia Mshahara utakao kuwa umepokonywa na Bunge uchwara!

Ni vema waandae Akaunt maalum ya Bank kwa mchango huu.
 
Nakuuliza alifuata utaratibu kwenye matibabu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo utaratibu ndio ilikuwa kifo chake. Aliyemuokoa ni Mungu sio utaratibu wa binadamu. Hahitaji utaratibu wa watu waliotaka kumuua. Dunia hii ni kubwa anaweza kupata kazi popote dunia hii maana ana uwezo. Wale wenye vyeti fake ndio wanaweza kutii hizo taratibu zenye hila, fullstop.
 
Kuna watu wana roho mbaya Duniani sijawai kuona alafu watu kama hao juma pili wako kanisani au ijumaa wako msikitini
 
Kosa la Lissu: kuwa mkweli, kuwa mkosoaji wa serikali, kutokuwa mwoga, kutokuwa mnafiki, kutetea wanyonge, kuibua uozo serikalini, kufuatilia sana matumizi ya rasilimali za nchi na kupenda haki.
 
Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

Swali toka kwa Mwanahabari Huru: Je -Waliompiga Lissu risasi wameshapatikaka?

-CCTV ulishawai kuhoji nani amezitoa?

-Lissu alipigwa risasi akiwa Jimboni au kazini Hapo Dodoma?

Ukiwa kiongozi Ushabiki ni mbaya

=====================

Spika wa Bunge Bw.Job Ndugai amesema atasimamisha Mshahara na Malipo yote ya Mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lisu kuanzia mwezi huu kutokana ana Ofisi yake kutokuwa na Taarifa sahihi ya mahali alipo kwasasa na anachokifanya huko. Hii ina maana Lissu hatalipwa mshahara tena kuanzia sasa hadi pale Spika atakapojisikia.

#MyTake:
Hawa ndio wale Balozi Masilingi alisena wameumizwa sana na shambulio la Lissu. Yani waliumizwa sana lakini hawajahangaika kujua aliyeng'oa camera za CCTV. Waliumizwa sana wakaondoa ulinzi siku ya shamvulio la Lissu. Wakaumizwa sana lakini wakamnyima hela za matibabu ili afe, lakini Mungu akamuokoa kwa neema. Sasa wameumizwa sana wameamua kumsimamishia mshahara. Hivi bado tunahangaika kutafuta waliomshambulia Lissu kwa risasi?
Hapo kwenye maswali ya Mwanahabari zisizohuru, ongezea:
- Jee Dereva kapatikana.
- Dereva kama hayupo mafichoni, jee mbona sura yake akimsaidi TL hazipatikani, wala haonekani karibu ya Lissu, Jee yuko hai kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo utaratibu ndio ilikuwa kifo chake. Aliyemuokoa ni Mungu sio utaratibu wa binadamu. Hahitaji utaratibu wa watu waliotaka kumuua. Dunia hii ni kubwa anaweza kupata kazi popote dunia hii maana ana uwezo. Wale wenye vyeti fake ndio wanaweza kutii hizo taratibu zenye hila, fullstop.
Kumbe alimuokoa mungu basi awashatakie kwa mwenyezi sio analia lia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom