Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

The less you give a damn the happier you will be [emoji12][emoji106][emoji106]
 
Sukuma gang aka ndugu wa marehemu mnatapatapa sana. Ngoja mama awanyooshe. Mliwekeza kwa mtu sasa Mungu nae akafanya surprise attack..naona bado hamjaamini
 
TAKUKURU & DPP

SPIKA WA BUNGE JOBU NDUGAI ACHUNGUZWE KWA TUHUMA ZA MATUMIZI YA DOLA MILIONI 12 ( Shs BILLIONI 27) KWA AJILI YA MATIBABU NCHINI INDIA 2015/16/ & 2017/18

√Inadaiwa alikodi Hoteli yenye hadhi ya nyota 5 aliyoitumia kama Ofisi na alisafiri na Wasaidizi Wawili

√Fedha hizo zinaweza kujenga vituo vya Afya 50 kwa gharama ya shs Milioni 500 Kila kituo.

Ndugu zangu Watanzania hususani Wale mlio Wazalendo Kama Mimi

Tuhuma hizi ( hazijathibitishwa) ila sio mpya na zimeripotiwa na vyombo mbalimbali vya Habari ikiwemo Mitanda ya Kijamii Nchini

Naishauri TAKUKURU & DPP waanzishe mara moja uchunguzi wa tuhuma hizo za matumizi ya Dola za Kimarekani Million 12 kwa kushirikiana na ofisi ya CAG

Uchunguzi huo pamoja na mambo mengine uhakiki mambo yafuatayo:

(1) Jumla ya gharama zilizotumika kwa matibabu yake

(2) Uhalali wa
kbali cha matibabu & matumizi ya Fedha

(3) Aina ya Ugonjwa aliougua na kama hakukuwa na Hospitali yenye uwezo wa kutoa tiba ya maradhi hayo hapa nchini

(4) Aina ya matibabu aliyopata
Uhalali wa kusafiri na Wasaidizi 2 aliokaa nao muda wote India

(5) Uhalali wa kukodi hoteli iliyotumika kama Ofisi n.k

Taarifa ya uchunguzi ndiyo itakayotoa majibu ya usahihi au uongo wa tuhuma hizi

Watanzania wanasubiri majibu

KaziIendelee
 
Unaumwa vibaya sana wewe, vipi dozi imecheleweshwa nini?
 
Miaka kadhaa nyuma wapinzani walipata kunena haya kuhusu Ndungai ila praise team mkamtetea kweri-kweri.

Haya, kiko wapi sasa?

NB:
Waache wauane.
 
Apende asipende Mh.Ndugai lazima aachie ngazi mchuma uondoke...short of that tutawaomba Wananchi tuungane tulisindikize Bunge liwe dissolved. Kwa Mwari kunaliwa na kwa Kungwi kunaliwa pia

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nampongeza sana spika kwa kutimiza wajibu wa Bunge kuisimamia serikali.
 
Hahahahaaaaa,wakati upinzani wakikemea haya mlimuunga mkono ndugai!

Nakumbuka Ndugai alienda na ofisi yaani wasaidizi wake huko,kipindi Lipumba anaivuruga CUF,Ndugai aliandika barua akiwa India akiitarifu NEC juu ya nafasi za wabunge waliofukuzwa na Lipumba uananchama hivyo kukosa sifa!

CCM mlimuunga mkono Lipumba lakini mkamtetea Ndugai kuwa huko aliko anaendelea na majukumu yake kwani kaenda na Ofisi!

Leo mnalalama Nini?

Kama Kuna ubadhirifu achukuliwe hatua,ila muwe na kumbukumbu!

Halafu mmesahau kuwe mlipeleka Muswada Kwa hati ya dharura kuwa Rais,PM,Makamu,Jaji Mkuu na Spika kutoshitakiwa na ukapitishwa!

Sasa akichunguzwa ikabainika Kuna ubadhirifu then what??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakati hayo yakifanyika

Rais wa sasa alikua Makamu wa Rais.

2nd in command

Ndio maana alivyofariki Magufuli yeye akawa Rais.

Sijui Rais wa sasa anajitengaje na jambo hilo ambalo lilifanyika mbele ya macho yake naye akakaa kimya?
 
Wakati hayo yakifanyika

Rais wa sasa alikua Makamu wa Rais..
Hahahahaaaaa,wakati upinzani wakikemea haya mlimuunga mkono ndugai!

Nakumbuka Ndugai alienda na ofisi yaani wasaidizi wake huko,kipindi Lipumba anaivuruga CUF,Ndugai aliandika barua akiwa India akiitarifu NEC juu ya nafasi za wabunge waliofukuzwa na Lipumba uananchama hivyo kukosa sifa! CCM mlimuunga mkono Lipumba lakini mkamtetea Ndugai kuwa huko aliko anaendelea na majukumu yake kwani kaenda na Ofisi!

Leo mnalalama Nini?

Kama Kuna ubadhirifu achukuliwe hatua,ila muwe na kumbukumbu!

Halafu mmesahau kuwe mlipeleka Muswada Kwa hati ya dharura kuwa Rais,PM,Makamu,Jaji Mkuu na Spika kutoshitakiwa na ukapitishwa!

Sasa akichunguzwa ikabainika Kuna ubadhirifu then what??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada...
NAMCHUKIA SANA MTU ANAYEJIITA MWANACCM
 
Ndu
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada...
NDUGAI ANAICHONGANISHA SERIKALI NA WANANCHI NI MNAFIKI KUPINDUKIA.ANA CHUKI NA MAMA
 
Wana JF hii hoja ni nzito tujipe muda walau Wiki tatu kujadili vinginevyo tutaja ficha sura zetu bandia siku za usoni.
 
Job uwezo unao endelea hivyo hivyo...sasa kemea ujinga huu wa kupanda kwa bidhaa muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…