Sukuma gang ..
#kataawahuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang ..
Mnalazimisha CHADEMA waingilie huo utoto wenu lakini na wameuchuna mparuane wenyewe.Spika Ndugai kiukweli ametoa tahadhari nzuri tu, hebu fikiria ingekuwa ni Tundu Lisu ndio kaiponda mikopo ya mabeberu hakika hapa Jf pasingetosha pongezi za makamanda.
Ila kwa sababu aliyeshauri ni mgogo watu mnadharau hoja yake.
Maendeleo hayana vyama!
Kila zama na kitabu chake!Ndudai mbona enzi za zamani alikuwa haongei haya
Chadema wako usingizini wataamshwa 2026Mnalazimisha CHADEMA waingilie huo utoto wenu lakini na wameuchuna mparuane wenyewe.
Nasikia Wagogo wameandamana wanataka watengwe na hiyo kauli. Wanadai kama Ugogoni kuna zuzu ni yeye mwenyewe tu. Wengine washawahi kuwa mawaziri wakuu.Kila zama na kitabu chake!
... inasemwaga Shetani akizeeka?tunashangaa wema huo kaanza lini?
Magufuli ni mpole? Je Makonda? Kitu mmewafanyia Watanzania miaka 5 iliyopita hawatasahauAcha kuwahusisha wasukuma na huu upuuzi wa ccm..wasukuma ni kabila pole lisilopenda makuu..plz stop this nonsense...mkue basi.
#MaendeleoHayanaChama
Ndudai mbona enzi za zamani alikuwa haongei haya
Ndugai ndio mgogo original akina Le mutuz ni wahamiaji.Nasikia Wagogo wameandamana wanataka watengwe na hiyo kauli. Wanadai kama Ugogoni kuna zuzu ni yeye mwenyewe tu. Wengine washawahi kuwa mawaziri wakuu.
Mbona hata wewe ni mhamiaji tu bwashee?Ndugai ndio mgogo original akina Le mutuz ni wahamiaji.
Kachukue buku saba yako chakubanga weweNdudai mbona enzi za zamani alikuwa haongei haya
[emoji23][emoji23][emoji23]Kachukue buku saba yako chakubanga wewe
Unafiki ni janga nchi, anachoongea yuko sahihi but at wrong timeWakati ule wazo la namna hiyo halikumjia kichwani mwake , limemjia sasa hivi Je anyamaze asiseme sababu Kwanini hakusema wakati ule ulopita?
Mantiki itakuwa ni nini ?!
After all kiwango cha deni cha wakati ule hakikuwa nimefika pakubwa kama ilivyo sasa , Kwa hiyo akistuka sasa ni sawa kwa kutoa tahadhari kabla ya hatari