UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Lisu atatoa wapi akili na ujasiri wa kuwaponda mabeberu? Akijifanya si wanakata tu mirija inayomlisha vya bure ili aonje joto ya jiwe!ingekuwa ni Tundu Lisu ndio kaiponda mikopo ya mabeberu hakika hapa Jf pasingetosha pongezi za makamanda.