Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni

Spika wa bunge kwa kuongea hadharani kuwa nchi inaingizwa kwenye kukopa kopa kutembeza bakuli kwangu ninaiona kama ina ukakasi sana kufuatia rais Samia kumpinga na kusema tutaendelea kukopa.

Je haya tunayoyasikia kila wakati kuhusu mihimili kuingiliana ndiyo haya yanayotekea leo? Au ndiyo ukweli kwamba kuna mpasuko ndani ya chama cha mapinduzi maana ndungai amekwenda zaidi na kugusia swala la 2025kuwa wamchague mkopaji hili nalo haliweki wazi kuwa tayari kuna fukuto la ni nani atakuwa mgombea wa ccm miaka mitatu takriban ijayo?
 
kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
 
Kukopa kujenga SGR, Maji ya uhakika, miundombinu ya barabara. la umeme, umeme nafuu wa uhakika kwa viwanda, biashara na binadamu ni kitu kizuri kama mikopo ni ya masharti nafuu...
wewe umeona kuna chochote kinaendelea kwenye hiyo miradi ?!!...hizo gia za kipumbavu ndizo wanazotumia kuchukulia pesa na kukudanganya fala kama wewe kuwa wanaendeleza wakati wanaendelea na mipango yao ya binafsi
 
Anacho maanisha Ndugai ni kuwa hawa jamaa wa kambi mizoga wao ni vibaraka wa mabeberu na hawana uwezo wa kudhibiti maliasili za taifa hili dhidi ya mabeberu.

Tunapoongelea kitu kinachoitwa "mkopo" kila mtu anajua kwamba nyuma ya mkopo kuna jambo linaitwa " dhamana", kama wewe huna ujasiri wa kukinga kifua mbele ya mabeberu kuidhibiti maliasili yako basi wewe dhamana ya mikopo yako inakuwa ni tofauti kabisa, ni masharti magumu , yanayoweza kusababisha nchi ikauzwa.

Kama nina dhahabu ndani na nimeishiwa chakula nikikopa mchelle dukani halafu wewe upo kanicheka eti najitamba kuwa nina hela, wakati nimekopa , ni ujinga wako tu ndio Unakusumbua.

Kabla ya kuanza kutumika haya makaratasi dhahabu ndio ilitumika kubadirishana kama fedha duniani.

Na hata leo mabenki wanahifadhi dhahabu pia sio manoti peke yake, matajiri unaowajua awe mo, mengi, bakhresa n.k wote huweka akiba ya dhahabu sio minoti tu. Hii ni dunia nzima.

Ni majuha sisi watz, kwamba tuna dhahabu ardhini ya kutosha lakini bado tunajiona sisi ni maskini, hili ndio alikuwa analisema magufuli , marehemu. Maana inakuwaje benki za Ulaya, matajiri wote mpaka wafalme wote wahesabu dhahabu zao katika utajiri wao halafu wewe uwe na dhahabu nyumbani kisha ujiite wewe ni maskini, huo ni ujuha aliokuwa anaushangaa magufuli, ni akili ya kurogwa na mabeberu na kundi lao la mizoga.

Hivyo mru mwenye uwezo wa kudhibiti madini, huyo ana pesa, huyo ni tajiri, usimuige wewe kibaraka wa mabeberu unaejiuza utashi wako kwa kujipendekeza kwao kila uchao utatumia vipi madini yako kama dhamana , lazima nchi itauzwa tu,
 
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena...
Hilo deni dogo sana thamani yake ni wilaya ya kongwa na nyongeza ndugai!!
 
Ukweli ni kuwa kichwa cha Ndungai anakijua mwenyewe... Anaona kukopa ni issue na si kulipa wabunge hewa?
 
Lumumba hari si shwari vita vya panzi
Tatizo kubwa nchi hii ni watu kucheza ngoma za Lumumba... Yaani hata huko upinzani hakuna mipango madhubuti yakuleta kwa wananchi zaidi ya kuikosoa Lumumba...

Screenshot_20211229-130802.png
Screenshot_20211229-130716.png
 
Baada ya tafakari ya muda mrefu sana nimelazimika kuyaelewa maneno ya Spika Job Ndugai. Naungana nae.

Ni wazi kuwa maneno yake yamekuja wakati sahihi. Ameongea kama mwananchi wa kawaida kabisa... Na kwa vile yupo ndani ndani huko kuna mengi anayajua!

Cha ajabu sisi wananchi wa kawaida ndo wale wale tunaompiga vita na kumkashifu. Tulipaswa tuwe na harakati huru na endelevu za kutaka kujua matumizi ya fedha za mikopo na zile za tozo! Isije ikawa tunatumika kama dhamana ya mikopo ili wateule wachache wazidi kuneemeka.

Dalili za matumizi ya kufuru na anasa zipo wazi kabla hata ya SSH. Je, hatupaswi kwenda mbali zaidi kuhoji uhalali wa mikopo/tozo na matumizi yake?? Au tukishaambiwa na watawala basi tuufyate zaidi ya maandiko!
 
Baada ya tafakari ya muda mrefu sana nimelazimika kuyaelewa maneno ya Spika Job Ndugai. Naungana nae.

Ni wazi kuwa maneno yake yamekuja wakati sahihi. Ameongea kama mwananchi wa kawaida kabisa... Na kwa vile yupo ndani ndani huko kuna mengi anayajua! Cha ajabu sisi wananchi wa kawaida ndo wale wale tunaompiga vita na kumkashifu.

Badala ya kuwa upande wa wapiga makofi na waimba sifa Tulipaswa tuwe na harakati huru na endelevu za kutaka kujua matumizi ya fedha za mikopo na zile za tozo! Isije ikawa tunatumika kama dhamana ya mikopo ili wateule wachache wazidi kuneemeka.

Dalili za matumizi ya kufuru na anasa zipo wazi kabla hata ya SSH.

Je, hatupaswi kwenda mbali zaidi kuhoji uhalali wa mikopo/tozo na matumizi yake?? Au tukishaambiwa na watawala basi tuufyate zaidi ya maandiko!
 
kwamba siutetei upande wowote kwa ushabiki holela bali kwa hoja zenye kujibu naomba ieleweke,

Kusherehekea pesa kama wendawazimu bila kuelewa msingi wake ni utoto na mnaambiwa ukweli taka msitake!!!

Mwendazake alikuwa na plan zake na lkwa hili la leo wenue akili wote tumeelewa kuwa blue paper ya aliyoyafanya ilijulikana na the the top 5 of national authority akiwemo huyo job. Plan iliyokuwa na utaratibu wa kurejesha pesa kwa kupitia maliasili za madini haraka sana , ila hakuweza kisimamia plan hiyo mpaka mwisho kwa yaliyotokea.

Waliokuja, hawana uwezo wa kutembelea kiatu kile kwani uwezo wa kudhibiti maliasili na kuwabana mabebeeu ili kuingiza pesa hawana. Lakini bado tunawataka watekeleze maendeleo waliyoyarithi , hapo ndio kizungumkuti!
Wametapatapahuku na huko, mara tozo mara luku n.k lakini hela haitoshi kuendeleza miradi! Ikabidi wafuate masharti ya mabeberu ili wapate fedha , wananchi muone fly over na ndege mpya lkn njia ya kupatia fedha ilisha badirika.
Kwakuwa waliokuwepo wanajua ilivyokuwa na ilivyosasa, wanaona jinsi picha sasa linavyotisha . Kwa kupata maendeleo yale yale kimikopo bila uwezo wa kudhibiti madini ili kulipa mikopo hiyo jibu lake ni wazi kuwa hiyo ni disaster inakuja.

Hata ukiamgalia lile jiwe lilikuwa halisafiri kwenda magharibi na lilikuwa linajisifu kuwa linaandaa donor country, na mziki ule ilifikia dunia ikauelewa vizuri sana, kwani jiwe linakuambia Nickel ya kagera inatumika kutengeneza ndege na Tz ni ya 3/2 duniani , hellium ni gesi muhimu na Tz ni ya 1 au 2 duniani, bila kutaja madini mengine mengi tuliyonayo kwa wingi. Ukiweza kiyadhiniti vema hata ukope unakuwa na kiburi cha kulipa maana hata matajiri wanaweka akiba ya dhahabu sio minoti tu sasa kama una dhahabu ardhini maana yake unauhakika kuwa wewe una pesa na hakuna mtu mwenye akili anaejua nafasi ya dhahabu katika teknolojia ya uzalishaji na katika matumizi yake kama fedha atakunyima mkopo wowote akijua dhahabu ipo.
Tatizo linakuja kwa wattawala dhaifu ambao ubeberu wanauruhuau tena urudi, hawana udhibiti tena wa madini yetu( pesa yetu) , sasa hata wakikopa deni linakosa uhakika wa kulipwa , nchi ni lazima itapogwa mnada. Hawana jeuri ya kusema tena ," Tanzania ni tajiri".
Hawawez kukuelewa lakin kwa kias kikubwa umeeleweka
 
Inawezekana waliaidi ana kuwa watahamishia serikali Dodoma kama atamuunga mkono kwenye mikopo bila kuhoji,
 
Wahuni Wana matarajio ya upigaji wa pesa za Umma hawataki kusikia mawazo ya akina Ndugai.watanajisi Kila jambo zuri lenye maslahi mapana ya Nchi hii Mama katangaza Jana atamalizia miradi iliyoanzishwa na Hayati Magufuli mapovu yamewatoka wako busy kutaka kufuta legacy yake niwambie hamtaweza hata kidogo
 
Back
Top Bottom