FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ipo siku hii thread itakuja kumpa JOB NDUGAI URAIS. Muda utaongea.This is just sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo siku hii thread itakuja kumpa JOB NDUGAI URAIS. Muda utaongea.This is just sad
Tukimaliza Mabenki huenda tukaingia na kwenye Vikoba..., Kukopa na Kuomba ndio imekuwa umahiliTumalizie Benki za kimataifa Zinazoidai Tanzania
View attachment 2406698
Sasa hivi deni linachupa mwendo wa kupaa ndegeSpika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi hawakuridhia kama inavyosema na baadhi ya wanasiasa.
Kwa maneno hayo naona kuna mambo yanaendelea huko Lumumba yapo mambo hayajakaa sawa ukiona spika anaanza kulalamikalalamika! Alianza kuhusiana na serikali kuhamia Dodoma kuwa kwa sasa kazi zote za serikali na makongamano zimerudishwa Dar-es-Salaam.
Mheshimiwa Ndugai popote ulipo nakwambia hivi wewe na viongozi wako mnaifanyia nini hii nchi mbona mnakaa mnalalamika lalamika wakati chama ni cha kwenu na chama chenu ndicho kimeunda serikali.?
=====
UPDATES;
=====
=> Watu wengi wanatulaumu sana, ninyi ndio Wasomi. Hebu fikiria, Juzi mama kaenda kukopa 1.3 Trilioni deni.
=> Na tuna majengo hivi sasa ya Madarasa, ya Vituo vya afya, ambayo yanajengwa kwa tozo. Hivi ipi bora? Sisi Watanzania wa miaka 60 ya Uhuru tuendelee kukopa na Madeni au tubanane banane hapa tujenge wenyewe bila madeni Makubwa yasiyoeleweka? Ni lini tutajenga wenyewe?
=> Tutembeze bakuri ndo heshima? na tukishakopa tunapiga makofi! Sisi wa kukopa kila siku?
=> Tukasema pitisha Tozo, anayetaka asiyetaka, pitisha Tozo. Lazima tuanze kujenga wenyewe. Nani atatufanyia? Yupo wapi huyo Mjomba? Tukapitisha Tozo.
=> Sasa 2025 itaamua. Mkitoa waliopo sawa. Waje watakaokuwa kazi yao kwenda kukopa endepo hiyo ndo namna ya kuendesha Nchi.
=> Hivi sasa deni letu ni 70 Trilioni. Hivi ninyi si Wasomi? Is that healthy? Kuna siku nyi itapigwa mnada hii. Madeni Madeni Madeni
=> Bajeti yetu Trilioni 30, Trilioni 10 kati ya hizo kwa Mwaka tunalipa Madeni.
=> Tumeenda Kukopa 1.3 Trilioni, Tunapiga Makofi. Tunawapa Wazungu Trilioni 10 Mariba Matupu. Wanatufanya Sisi Mazezeta. Hela yako Mwenyewe. Anachukua hela yako, halafu anakupa Kidogo Unashangilia.
=> Toza fanya hivi, tujitegemee, Tusimame wenyewe. Kuna ubaya gani? Hata msomi anatupinga.
View attachment 2060338
Zaidi, soma: Thread 'Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏' News Alert: - Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏
Inaonekana haya madeni yote ni ya enzi ya mwendazake? Naona 2020/21?
Au umechanganya ccm wote?
Ok nimekuelewa sanaMwendazake alikopa mara mbili ya jakaya,mama kakopa ukikusanya kuanzia nyerere,mwinyi,mkapa,Jk na JpM ndio mkopo jumla wa mama
Nabii Job Ndugai kauli yake ichukuliwe kwa umakini mkubwa.
Asili ya kila kitu ni NENO
CCM imechoka!! Nchemba hajui lolote.Sasa watu kuchelewa kulipwa mishahara na mikopo kuna uhusiano gani?
At least ingekuwa kipindi cha mkapa wangecheleweshewa mishahara ni sawa kwasababu yeye alikuwa anafanya kila namna ya kurudisha deni
Kuna siku watumshi watakosa wote.. huwezi kutengemea TOZO na Tax za buku kwnye umeme.Munada
Labda hyo inaweza kuwa ni pointCCM imechoka!! Nchemba hajui lolote.
Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja
ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...www.jamiiforums.com
“Kuna siku nchi itapigwa mnada hii” - Job Ndugai, 28/12/2021
Job Ndugai alisema mkopo wa fedha wa Sh1.3 trilioni kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) ili kukabiliana na athari za kiuchumi za COVID-19 (ambazo walizipeleka kusikoonekana), malipo na riba ya mkopo huo ni Sh10 trilioni
Bila tashwishi na kupepesa macho, hii ni biashara kichaa.
Inapelekea mpaka Walimu wiliya ya Mvomero hawajalipwa Mishahara Yao.
Na tunakoelekea kuna siku kweli hii nchi itapigwa mnada, mikopo imekuwa mikopo. Madeni na Tanzania, Tanzania na madeni. MADENI WALIMU.
Tozo zinazidi kuongezwa kila kukicha haijulikani zinatumika wapi na kukopa wanazidi kukopa kazi ipo.
Mr mkiki.
View attachment 2493902
Ndio unataka kusema unajua Leo. Yani CCM wanasema wanaendeleza Nchi kwa Tozo na buku za Umeme kila mwezi.Labda hyo inaweza kuwa ni point
Mkuu nenda Taratibu kwa post za aina hii unafanya JF Iwe kama kijiwe cha Kahawa. Serikali inalipa Mishahara kwa watumishi wake wote kwa wakati mmoja kupitia BOT kwa mifumo ya kielektroniki, kwa kifupi haaachwi mtu yaani is just Click mshiko unakufikia muda huo huo. aidha akaunti ya Benki ikiwa imekosewa ama mwajiri kamuondoa mtumishi kwenye mfumo kwa sababu zake yeye hapo atakosa. Na mshahara wanalipa from 21 -23 ya kila mwezi.Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja