Uchaguzi 2020 Job Ndugai na mabadiliko ya Katiba na Sheria. Je, wananchi tunaonewa au tukubali mitano tena?

Uchaguzi 2020 Job Ndugai na mabadiliko ya Katiba na Sheria. Je, wananchi tunaonewa au tukubali mitano tena?

Hapo ndio nia ovu ya rais wa wanyonge na genge lake inapoonekana, hawana nia njema na nchi yetu hawa wahuni.

Watanzania mkifanya makosa mtajuta maisha yenu yote.

Na Ndugai alisema atake asitake tutamuongezea.
 
Ugumu unakuja katiba yetu inapendelea chama tawala... ko ni ngumu siku zote tuongee vyote ila tukumbuke Mkuu wa nchi,mkuu wa serikali na mkuu wa majeshi tunayetaka kumtoa...
 
Job Ndungai ni Spika wa hovyo kuliko wote waliopata kutokea JMT.
 
Back
Top Bottom