Job Ndugai popote ulipo, kaa kwa kutulia na uwe na amani. Watanzania waanaamini hivi

Huo mtaa wenu wa mateja wavuta bangi hamjielewi
 
Thubutu huko kwenu Hangaya katembelea Mara ngapi?
Lakini kwa sukumagang,Kona mbili unasikia Hangaya yupo sukumagang.
Anajua vema sukumagang ni Kama maji,usipoyanywa utaogezewa drip hospital.
Tumedhamilia kukata mizizi yote ya sukuma gang na sasa tushamuondoa Ndugayi wenu hadi mrudi kwenu burundi mtuachie nchi yetu
 
Tumedhamilia kukata mizizi yote ya sukuma gang na sasa tushamuondoa Ndugayi wenu hadi mrudi kwenu burundi mtuachie nchi yetu
TZ sukumagang wako kila mkoa,Labda wewe na kijikabila chako mtarudi kwenu Burundi.
 
NNoNsensee...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikaragosi Mjomba wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sukuma gang woote ni watwana wa jiwe ukiwemo na wewe
 
Labda mtaani kwenu huko ambako watu hawajielewi. Yaani watu wa mtaani kwenu hawajui vitu gani husababisha mfumuko wa bei?
 
Sukuma gang wote mnaombea isijengwe ili kulinda legacy ya kulazimisha ya jiwe
Kama wataingia mkatabq wenye masilahi kwa taifa tunaunga mkono.

Hatutaki mkataba wa kinyonyaji.
 
Kama wataingia mkatabq wenye masilahi kwa taifa tunaunga mkono.

Hatutaki mkataba wa kinyonyaji.
Awamu ya tano ndiyo iliongoza kwa ufisadi tangu nchi ipate uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…