Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
 
Ameshavuna vya kutosha na anamalipo kila mwezi hadi kwendazake. Ana shida gani wenye shida ni wapiga kura wake. Ameona muda wa kutumia fimbo umempiga chenga.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Hongera kwa kutambua hilo. Miaka 25 bungeni imezidi, 15 inatosha.
 
Hatogombea ubunge sio kuwa hatogombea kwny uchaguzi wa 2025

Allah atufikishe salama 2025 tuone pambano lingine la ndani ya Chama kama tulivyoshuhudia 1995 na 2005?
 
Hata akigombea ni wazi jina lake halitapitishwa kwa kuwa tayari alishajipambanua yupo kambi tofauti na upande wa Mama.
 
Natamani wazee wengine kama yeye waliopo bungeni tena wale wagonjwa na wanaosinzia tu wamuunge mkono Mgo2 nao watoke! hakuna wanachofanya kusaidia raia bei ya mafuta imepaa bunge linatusaidiaje? halina meno?aende tu
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Popote alipo apigiwe wimbo uitwao:Amekoma,Amekoma!
 
Busara zimerudi la sivyo kibao kingegeuka!
02B84B12-3D7F-4987-826F-A56FFD9929EB.jpeg
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Hata asipogombea,
Kwani siku zote alikuwa anachaguliwa na wananchi?

FB_IMG_1620883433830.jpg
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Nani alimwambia kuwa anatakiwa agombee? Kanisani ni sehemu ya ibada sio jukwaa la siasa.. Asiinajisi imani kuna mahali pengine pengi anaweza kwenda kuongea hayo na mengineyo
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Top layer kaona haitameikiria.Ninampango wa kwenda kongwa nikamuulize kulikoni mbona kwa kauli za kejeli na kudhalilisha wengine tukajuwa forever kimekukuta nini,halafu nitaleta mrejesho hapa.
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Alipewa maelezo sahihi ya nani aliongozana na mkewe Jerusalem?
 
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.

Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.

Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee huyu kwa Uongo mbona wakati anaapishwa kuwa Spika Hakusema ?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom