babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!