Ameshavuna vya kutosha na anamalipo kila mwezi hadi kwendazake. Ana shida gani wenye shida ni wapiga kura wake. Ameona muda wa kutumia fimbo umempiga chenga.Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Popote alipo apigiwe wimbo uitwao:Amekoma,Amekoma!Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Hata asipogombea,Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Nani alimwambia kuwa anatakiwa agombee? Kanisani ni sehemu ya ibada sio jukwaa la siasa.. Asiinajisi imani kuna mahali pengine pengi anaweza kwenda kuongea hayo na mengineyoJob Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
KajiumizaNaye aliumizwa
Sahihi kabisaAnaiona kesho iliyopangwa na...
Top layer kaona haitameikiria.Ninampango wa kwenda kongwa nikamuulize kulikoni mbona kwa kauli za kejeli na kudhalilisha wengine tukajuwa forever kimekukuta nini,halafu nitaleta mrejesho hapa.Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
Alipewa maelezo sahihi ya nani aliongozana na mkewe Jerusalem?Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.
Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael.
Alisema ni jambo ambalo alikuwa ameshalipanga kwa muda mrefu!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mzee huyu kwa Uongo mbona wakati anaapishwa kuwa Spika Hakusema ?Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma.