Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na wale watoboa pua, kuvaa heleni na kupaka ma bleach wanaojiita Wasanii wasambaze huo uongo na kusifia sifia wakikata viuno.
2025 kama uchaguzi utakuwepo baada ya reform tutafanya maamuzi yatakayo washangaza wengi.
Saa mbovu wakati mwingine huwa inasema UkweliHakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na wale watoboa pua, kuvaa heleni na kupaka ma bleach wanaojiita Wasanii wasambaze huo uongo na kusifia sifia wakikata viuno.
2025 kama uchaguzi utakuwepo baada ya reform tutafanya maamuzi yatakayo washangaza wengi.
Uko lipumbafu...Oneni hili nalo! Huwezi kujua mantiki ya tukio sababu unafikiri juu juu kama kina Shilole!
Hii haijawahi kuwa na come back pamoja na mapungufu yake lakini hapa alikua ni mzalendo kwa nchi yakeHakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na wale watoboa pua, kuvaa heleni na kupaka ma bleach wanaojiita Wasanii wasambaze huo uongo na kusifia sifia wakikata viuno.
2025 kama uchaguzi utakuwepo baada ya reform tutafanya maamuzi yatakayo washangaza wengi.
Hakika amevimbiwa kwa maneno yako uliyomlisha!Hakika kama Spika ulipokuwa ofisini kwako ulikuwa na nafasi ya kuelewa mengi na kwa undani zaidi.
Hivyo kama ilivyo, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na dhahiri anakuwa adui wa shetani. Tumeelewa.
Sasa kwa kuenzi huo ukweli aupendao mwenyezi Mungu tumekuelewa na tutausambaza kila kona ya nchi na wale watoboa pua, kuvaa heleni na kupaka ma bleach wanaojiita Wasanii wasambaze huo uongo na kusifia sifia wakikata viuno.
2025 kama uchaguzi utakuwepo baada ya reform tutafanya maamuzi yatakayo washangaza wengi.
Hahaaaaaaa!Yusto alivyokuwa anapopolewa kipindi akiwa Spika leo anaonekana wa maana