Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

Tazama Urusi na KGB yao. Usiingize psychiatry katika siasa. Adui zako wa kisiasa somehow wakifanikiwa kukuingiza Mirembe,you will never draw a sane breath again. Zipo njama well- documented(katika nchi nyingi duniani) kwamba psychiatry imewatosa raia na inafanya kazi na vyombo vya Usalama kukandamiza raia.
Political abuse of psychiatry, also commonly referred to as punitive psychiatry, is the misuse of psychiatry, including diagnosis, detention, and treatment, for the purposes of obstructing the human rights of individuals and/or groups in a society.[1][2]: 491  In other words, abuse of psychiatry (including that for political purposes) is the deliberate action of having citizens psychiatrically diagnosed who need neither psychiatric restraint nor psychiatric treatment.[3] Psychiatrists have been involved in human rights abuses in states across the world when the definitions of mental disease were expanded to include political disobedience.
Utawala wa Mwendazake nimeponea chupuchupu kupelekwa Mirembe. There was a total breakdown of law and order wakati Magufuli alipokuwa Rais. Kwa sababu,baada ya yeye kuwa dikteta,waliibuka madikteta uchwala wengi. Mbowe anasemaje? Wapo Chadema wengi wamembsmbikiziwa kesi Uchaguzi uliopita.
Mimi kidogo nipelekwe Mirembe. Hata Daktari alishaandaliwa wa kunipokea kule. I forget the name of the doctor. Literally,I have forgotten the name of the doctor. . It was Dr. Rwiza or something. Ukishaambiwa unspelekwa mental hospital na daktari anatajwa,is that not dangerous?
Oh, huyu hana furaha,labda anataka kujiua,hana hela mfukoni,anaweza kujiua kwa msongo wa mawazo. Tumpeleke Mirembe upesi. Hafanyi kazi huyu. Hawa wezi wanajiita wafanya kazi? Hawa watu pay slip inaonyesha milioni chache,wakati bank account yao inaonyesha bilioni chache.
Hii Nchi imeshapotea njia !! Kilichobaki sasa tuuone mkono wa Bwana utuokoe !!
 
Loooooo naye ana mpambe nyuma yake!nchi ya ajabu sana hii, huu uzuzu utaondolewa lini?
 
Ndugai alienda clinic akakutana na warsha akapewa ugeni rasmi,maana ameonyesha improvement.
Hongera zake.
 
CCM izingatie huu ushsuri wa Ndugai.
Wamechezea shilingi ya choini katika kuteua mgombea wa urais 2015.
Matokei tumeyaona live.
Ndugai anatoa ushauri baada ya Dialo-Mwenyekiti CCM Mwanza na Membe kusema suala hilo hilo.
 
Chadema wanafikiri watakaopimwa afya ya akili ni wagombea wa CCM tuu.
 
"Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili

Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina umuhimu ama la.
Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 katika hospitali ya Mirembe aliposhiriki maadhimisho ya siku ya afya ya akili duniani.

“Hata kule bungeni wakati fulani panatolewa wito kwamba wabunge wapimwe akili, waende Mirembe kwanza kabla ya kupata Clearence, tunapojaza fomu zile za kuomba ubunge tujaze fomu kisha tuje Mirembe tupimwe na katikati ya muhula tuje tena tupimwe, hili ni pamoja na madiwani na viongozi wengine wakuchaguliwa, sijui kama jambo hilo ni muhimu ama si muhimu lakini kuna wengine wanasisitizaga sana jambo hilo, lakini hilo ni la wananchi tuwaachie wananchi."

“Ni kuonyesha tu kwamba kama mtu ana tatizo aweze kupata tiba, nia sio kumbagua mtu, nia ni kuona kama tatizo lipo ili mtu aweze kupata huduma inayostahili kwasababu madhara ya afya ya akilli ni makubwa sana,” amesema Ndugai.

Ndugai ameeleza dawa za kulevya zimesababisha wagonjwa wengi wa afya ya akili wanaosababisha maovu mbalimbali kwenye jamii, pamoja na wanafunzi kuwa watoro shuleni huku akitoa wito kwa wanafunzi kujiepusha na matumizi ya dawa hizo.

View attachment 2382971
Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai"

----
Job Ndugai kaamka toka usingizi wa kisiasa.

Akiwa mgeni rasmi sherehe za afya ya akili kitaifa huko Mirembe, ametoa maoni kuwa wabunge wanaowawakilisha wananchi wapimwe afya ya akili.

Katika hili mimi Jidduzz namuunga mkono kabisa.

Awamu ya Tano CCM ilituletea kiongozi mwenye kuhisiwa kuwa na matatizo ya schizophrenia, aina ya ugonjwa wa akili.
Tuliyopitia wote tunayajua.
Ndugai Uso umekosa nuru kabisa.

Nimekosa mimi
 
Unaweza ukawa una akili ukalazimishwa kuongea au kufanya kama huna akili KWA maslahi ya chama au serikali!!

KWA mfano

Inahijika kiwango kikubwa cha utaahira kutamka hadharani KUWA Tozo zimeboresha Maisha ya watanzania na sio kuyadumaza!!!

Ni katiba tu Mpya yenye mashiko ndio itaondoa sintofahamu nyingi zaidi NCHINI!!!

Wenye mamlaka mjitahidi kutuletea katiba Mpya ili kuhakikisha hakuna anaeharibu!!!
 
Akili angeanza kupimwa yeye wakati anapokea maagizo ya serikali kuwashughulikia wabunge wa upinnzani akaacha kazi ya kikatiba ya kuisimamia serikali. Tena apimwe hata sasa maana naona kina ndugai wawili katika koti moja.
 
CCM wanataka kuitumia Mirembe kisiasa. Watu watabambikiwa magonjwa ya akili washindwe kisiasa.
 
Ni heri kasema yeye mwenyewe, anajua wapi alikosea kutokunywa dawa.
Wabunge Waligalize herb ili kuondoa stress

jordansmoke.png
 
Unaweza ukawa una akili ukalazimishwa kuongea au kufanya kama huna akili KWA maslahi ya chama au serikali!!

KWA mfano

Inahijika kiwango kikubwa cha utaahira kutamka hadharani KUWA Tozo zimeboresha Maisha ya watanzania na sio kuyadumaza!!!

Ni katiba tu Mpya yenye mashiko ndio itaondoa sintofahamu nyingi zaidi NCHINI!!!

Wenye mamlaka mjitahidi kutuletea katiba Mpya ili kuhakikisha hakuna anaeharibu!!!
Ukichanganya mambo mengi yaliyo moyoni mwako mwisho hueleweki.
Nawe unatakiwa kupimwa Mirembe.
 
Kwa jinsi RUSHWA ilivotaradadi ktk Nchi,

Hata ukipitisha Sheria hiyo hutampata mgonjwa, Bali utaongeza kipato feki Cha madaktari.

Ila mchakato Ukiwa huru, viongozi tulionao wazima wanaweza wasizidi kumi😠😠😠😠.
 
"Ndugai: Kuna wanaotoa maoni wabunge wapimwe afya ya akili

Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amesema kumekuwa na maoni wabunge wapimwe afya ya akili kabla ya kwenda kuomba ridhaa ya kuwawakilisha wananchi bungeni akieleza kuwa jambo hilo ni la kuwaachia wananchi ili kuona kama lina umuhimu ama la.
Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 10, 2022 katika hospitali ya Mirembe aliposhiriki maadhimisho ya siku ya afya ya akili duniani.

“Hata kule bungeni wakati fulani panatolewa wito kwamba wabunge wapimwe akili, waende Mirembe kwanza kabla ya kupata Clearence, tunapojaza fomu zile za kuomba ubunge tujaze fomu kisha tuje Mirembe tupimwe na katikati ya muhula tuje tena tupimwe, hili ni pamoja na madiwani na viongozi wengine wakuchaguliwa, sijui kama jambo hilo ni muhimu ama si muhimu lakini kuna wengine wanasisitizaga sana jambo hilo, lakini hilo ni la wananchi tuwaachie wananchi."

“Ni kuonyesha tu kwamba kama mtu ana tatizo aweze kupata tiba, nia sio kumbagua mtu, nia ni kuona kama tatizo lipo ili mtu aweze kupata huduma inayostahili kwasababu madhara ya afya ya akilli ni makubwa sana,” amesema Ndugai.

Ndugai ameeleza dawa za kulevya zimesababisha wagonjwa wengi wa afya ya akili wanaosababisha maovu mbalimbali kwenye jamii, pamoja na wanafunzi kuwa watoro shuleni huku akitoa wito kwa wanafunzi kujiepusha na matumizi ya dawa hizo.

View attachment 2382971
Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai"

----
Job Ndugai kaamka toka usingizi wa kisiasa.

Akiwa mgeni rasmi sherehe za afya ya akili kitaifa huko Mirembe, ametoa maoni kuwa wabunge wanaowawakilisha wananchi wapimwe afya ya akili.

Katika hili mimi Jidduzz namuunga mkono kabisa.

Awamu ya Tano CCM ilituletea kiongozi mwenye kuhisiwa kuwa na matatizo ya schizophrenia, aina ya ugonjwa wa akili.
Tuliyopitia wote tunayajua.
Labda wabunge wapya;ni rahisi kujua wanamatatjzo ya akili wabunge wa zamani wananaotaka uwakilishi bungeni hata baada ya kuwakilisha miaka kumi bungeni.Hao wajue wanashida ya Akili.Ni lini tutaweza kupata ubunifu na mawazo mapya?Nchi inakawaida ya kusogea haikai mahali pamoja.
 
Back
Top Bottom