Job Ndugai: Wabunge watarajiwa wapimwe afya ya akili

Hii Nchi imeshapotea njia !! Kilichobaki sasa tuuone mkono wa Bwana utuokoe !!
 
Loooooo naye ana mpambe nyuma yake!nchi ya ajabu sana hii, huu uzuzu utaondolewa lini?
 
Ndugai alienda clinic akakutana na warsha akapewa ugeni rasmi,maana ameonyesha improvement.
Hongera zake.
 
Ndugai alienda clinic akakutana na warsha akapewa ugeni rasmi,maana ameonyesha improvement.
Hongera zake.
CCM izingatie huu ushsuri wa Ndugai.
Wamechezea shilingi ya choini katika kuteua mgombea wa urais 2015.
Matokei tumeyaona live.
Ndugai anatoa ushauri baada ya Dialo-Mwenyekiti CCM Mwanza na Membe kusema suala hilo hilo.
 
Chadema wanafikiri watakaopimwa afya ya akili ni wagombea wa CCM tuu.
 
Ndugai Uso umekosa nuru kabisa.

Nimekosa mimi
 
Unaweza ukawa una akili ukalazimishwa kuongea au kufanya kama huna akili KWA maslahi ya chama au serikali!!

KWA mfano

Inahijika kiwango kikubwa cha utaahira kutamka hadharani KUWA Tozo zimeboresha Maisha ya watanzania na sio kuyadumaza!!!

Ni katiba tu Mpya yenye mashiko ndio itaondoa sintofahamu nyingi zaidi NCHINI!!!

Wenye mamlaka mjitahidi kutuletea katiba Mpya ili kuhakikisha hakuna anaeharibu!!!
 
Akili angeanza kupimwa yeye wakati anapokea maagizo ya serikali kuwashughulikia wabunge wa upinnzani akaacha kazi ya kikatiba ya kuisimamia serikali. Tena apimwe hata sasa maana naona kina ndugai wawili katika koti moja.
 
CCM wanataka kuitumia Mirembe kisiasa. Watu watabambikiwa magonjwa ya akili washindwe kisiasa.
 
Ukichanganya mambo mengi yaliyo moyoni mwako mwisho hueleweki.
Nawe unatakiwa kupimwa Mirembe.
 
Kwa jinsi RUSHWA ilivotaradadi ktk Nchi,

Hata ukipitisha Sheria hiyo hutampata mgonjwa, Bali utaongeza kipato feki Cha madaktari.

Ila mchakato Ukiwa huru, viongozi tulionao wazima wanaweza wasizidi kumi😠😠😠😠.
 
Labda wabunge wapya;ni rahisi kujua wanamatatjzo ya akili wabunge wa zamani wananaotaka uwakilishi bungeni hata baada ya kuwakilisha miaka kumi bungeni.Hao wajue wanashida ya Akili.Ni lini tutaweza kupata ubunifu na mawazo mapya?Nchi inakawaida ya kusogea haikai mahali pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…