Job Ndugai: Wananchi waache kulalamika badala yake wafanye kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo

Job Ndugai: Wananchi waache kulalamika badala yake wafanye kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo

Za jioni Wakuu.

Jobu Ndugai Spika aliyeweka rekodi ya kujiuzulu amewataka Wananchi kuacha kulaumu na Kulalamikia Watawala na Vyama vya Siasa badala yake wafanye kazi Ili kujikwamua kwenye umaskini na kujiletea Maendelea.

Ameongeza kwamba Wasitegemee Vyama vya Siasa kuwaletea Maendelea.

Tiririka hapa [emoji116]

Jitu fidhuli, katili, shetani la Jiwe, dhulumati mkubwa wa Lisu, . takataka tupu!
 
Za jioni Wakuu.

Jobu Ndugai Spika aliyeweka rekodi ya kujiuzulu amewataka Wananchi kuacha kulaumu na Kulalamikia Watawala na Vyama vya Siasa badala yake wafanye kazi Ili kujikwamua kwenye umaskini na kujiletea Maendelea.

Ameongeza kwamba Wasitegemee Vyama vya Siasa kuwaletea Maendelea.

Tiririka hapa [emoji116]

Yeye anaoongea hivyo maana ana kazi ya kufanya na kujipatia pesa nyingi kinyume na hao anaotaka wafanye kazi.
 
Za jioni Wakuu.

Jobu Ndugai Spika aliyeweka rekodi ya kujiuzulu amewataka Wananchi kuacha kulaumu na Kulalamikia Watawala na Vyama vya Siasa badala yake wafanye kazi Ili kujikwamua kwenye umaskini na kujiletea Maendelea.

Ameongeza kwamba Wasitegemee Vyama vya Siasa kuwaletea Maendelea.

Tiririka hapa [emoji116]

Yupo sahihi, ametoa ushauri mzuri Sana..

Ila vyama vya siasa (hasa chama tawala) wanapaswa kuandaa sera nzuri na mazingira mazuri ya uchumi kustawi wanaposhindwa wanastahili lawama.
 
Yeye anafanya kazi gani?
Kadhalilishwa, anaona taabu kuuachia ubunge wkt ana marupurupu ya uspika mpaka atakapokufa.

Huyu jamaa MUNGU kamwacha makusudi ili aone nna nchi ilivyojaa furaha chini ya Samia
Umeandika nini!!??
umejikoroga kweli.
una hasira na Nduga.....
 
Haya ni mabadiliko chanya katika uendeshaji wa siasa za Chama chetu. CCM wameamua kuwa wakweli zaidi kinyume na maneno waliyotuzoeza kwamba tukiichagua CCM italeta maendeleo.

Sasa ni wakati wa Kila mmoja kujipigania kivyake na familia yake maana Chama kilichotegemewa kusimamia maendeleo ya Wananchi kimejitoa.

Kama kazi ya Chama si kuwezesha Wananchi kupata maendeleo Sasa kina kazi gani zaidi ya kusaka vyeo na maslahi? Tangu kauli hii itolewe sijasikia kiongozi yeyote wa chama chetu akikanusha kwamba labda hii ni kauli ya NDUGAI binafsi hasa ukizingatia huyu ni Mbunge na Spika "Mstaafu".

Screenshot_2023-02-14-07-56-44-128_com.twitter.android.jpg
 
Huyu na mashavu yake kama kameza vitumbua,ni kenge kabisa,

Hivi hajui kuna uhusiano mkubwa kati ya chama kilichopo Madarakani na sera na maendeleo?

Maendeleo sio miujiza, yanaletwa na watu kwa mipango thabiti,na Ili sera zako zifanye kazi lazima uwe Madarakani kupitia chama Cha Siasa!!watu, watendaji wapo kwenye vyama na wanaongozwa na vyama, wahandisi wa tanesco hawawezi kufanya mradi, mpaka kuwe na Baraka kutoka wizarani, wizara inayoongozwa na waziri, Mbunge, Mwanasiasa aliyepo kwenye chama,chama kinachotunga sera na miongozo ya kusimamia huo mradi.
 
Ndugai alikosea alipoomba radhi kwa kuongea ukweli kuhusu deni la taifa,

Alopaswa asimamie alichosema ambacho ndio ukweli, na kuna siku tutakumbuka kauli yake.

Alipotishwa kidogo kaomba radhi kwa haki yake ya kutoa maoni, na hawakumsamehe wakamzonga hadi kautema uspika wa bunge
Alikosea timing tuu. Mikopo ilichukuliwa sana enzi za utawala wa magufuli yeye akiwa spika na hakuwahi kulisema hilo ila sasa kuja kuongea katika utawala huu wa 6 anaonekana mnafiki.
 
Back
Top Bottom